
kiota kipya cha maraha kinafunguliwa leo katika jengo la benjamin mkapa pension towers (zamani mafuta house) usoni pa posta mpya. kiota hicho, kinachojulikana kama Savannah Lounge & Bar, kipo katika hoteli ya kimataifa ya Paradise City Hotel ghorofa ya tatu (level three) ya jengo hilo na mambo yaliyomo ndani si mchezo. habari zaidi na picha baadaye


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...