
kundi la matarumbeta na jazz toka benin
mkurugenzi wa alliance francaise ya dar akielezea kuhusu ujio wa kundi hilo la matarumbeta na jazz toka benin katika mkutano na waandishi ukumbi wa maelezo akiwa na viongozi wa kundi.wapenzi wa muziki wa jazz na matarumbeta leo wanakaribishwa kwenye shoo ya kundi la Ganbe Brass Band toka benin wataotumbuiza katika ukumbi wa Nkrumah chuo kikuu cha university of dar kuanzia saa moja jioni hadi saa nne. Onyesho hilo, ambalo kiingilio ni mguu wako, litatanguliwa na shoo ya kikundi kinachokuja juu kwa kasi cha ngoma za utamaduni cha Twetulobo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...