HAYATI VALERY MUKULASI KARUGABA

Leo umetimia mwaka mmoja tangu uage dunia.
Unakumbukwa daima na wazazi wako Bwana na Bi Valentine Karugaba, mdogo wako Victor Mujwauzi Karugaba, mkeo Arstidia Mukulasi, watoto wako Muganyizi, Mukiza, Mugonzibwa, Mulokozi, Mujuni, Mugizi na ndugu na jamaa wote.
kamwe hatutosahau ucheshi wako na upendo kwa watu wote.
Raha ya milele umpe Ee Bwana, 
na Mwanga wa milele umuangazie
Apumzike kwa Amani. Amina

Misa ya kumuombea marehemu itafanyika tarehe 29 April 2009, katika kanisa la Mt. Theresa wa mtoto Yesu Arusha, saa 12.30 asubuhi

Victor Mujwauzi Karugaba
University of Dar es Salaam Computing Centre
P.O. Box 12718
Arusha

Email: vkmujwauzi@uccmail.com
vkmujwauzi@yahoo.com
mujwauzivk@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...