Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akipozi na kaimu Jaji Mkuu Mh. Eusebia Munuo (mwenye joho) katika picha ya pamoja na majaji wengine baada ya kumuapisha kukaimu nafasi ya Mh. Augustino Ramadhani ambaye yuko nje ya nchi kikazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyu mama chapakazi sana... Mungu azidi kumbariki. Ila sijaelewa hapo? kukaimu nafasi ya Jaji Mkuu ni lazima kuapishwa??

    ReplyDelete
  2. ANONY#1 IYO NI MOJA YA SHOW ZA MAHAKAMA TANZANIA. KAMA MAFISADI KILA SIKU MAHAKAMANI MPAKA LEO ATUJAONA UKUMU ATA MOJA,BONGO NISHOOO OFU TU.

    ReplyDelete
  3. Wewe Tarehe April 17, 2009 10:59 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
    Jaji Mkuu Lazima aapishwe hata kwenye kukaimu nafasi. Jaji Mkuu yupo kwenye Mihili ya kuachiana uongozi, yaani akifa Raisi anakuja Makamu wa Raisi, naye akifa Waziri Mkuu, naye akivuta Spika Bunge na Spika na akiwa amevuta au wote watajwa hapo wapo nje ya nchi basi Jaji Mkuu anaukaimu Uraisi. Kwa hiyo Lazima Aapishwe, Kuongoza nchi sio mchezo mchezo tu.

    ReplyDelete
  4. huyu mama alishaishi arusha? nakumbuka nilienda shule primary na watoto waliokuwa na hili jina munuo na mama alikua judge pia enzi hizo.

    ReplyDelete
  5. ndio yeye haswa aliishi Arusha na familia yake

    ReplyDelete
  6. Wewe anon wa April 18, 2009 12:10 AM,naomba nikurekebishe.Kwanza kabisa naomba nikushukuru kwa mchanganuo huo ulioutoa wa chain ya kuachiana Urais once mmojawapo anapokufa.

    Ninachotaka kukwambia ni kwamba,kwenye hiyo chain spika hayupo tena.

    SABABU
    Sheria zote zinatungwa na bunge,right?What if siku bill toka bungeni inakuja kwa rais ili iwe signed na kuwa sheria inamkuta SPIKA ndyo rais wa wiki ile say.Spika huyohuyo alikua bungeni kuijadili ile bill,na spika huyo huyo inabidi awahi IKULU ili akaidhinishe hiyo bill ili iwe sheria.Hiyo inaweza kusababisha mgongano fulani,kwa hiyo huyo bwana hayupo tena kwenye hiyo chain.

    Mkulima-kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  7. Tarehe April 18, 2009 11:16 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
    Asante sana kwa kunirekebisha ni sawa kabisa hii sheria ilipishwa wakati Sumaye bado Waziri Mkuu kumwondoa Spika kwenye huo mchanganuo wa Uongozi kwa hiyo Waziri Mkuu alichukua nafasi ya Spika.

    Spika hayupo tena, ila huko nyuma ndio ilivyokuwa na ila waziri mkuu hakuwepo.Asante mdau kwa kuliona hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...