Juhudi za Serikali ya kupambana na uharibifu wa mazingira hasa ukataji holela wa miti ya asili bado ni tete  Mkoani Morogoro hasa kutokana na Kiwanda cha  kutengenza nguo cha 21 Century kuendelea na matuimzi ya nishati ya kuni na magogo kwa ajili ya kuendesha baadhi ya mitambo na hivyo kuchangia ukataji wa miti ya asili unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa lengo la kukuizia kiwanda hicho kama yalivyokutwa nyuma ya kiwanda hicho na mdau John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...