Home
Unlabelled
salim na labna wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mashaallah! wamependeza haswa!
ReplyDeletemashallah lubna mwanangu umependeza M,Mungu akujalieni kila la kheri na maisha ya furaha,nimefurahi kuona picha zako. aunty from helsinki.
ReplyDeletekupendeza siyo hoja bali ninawaombea dua mola wangu awajaliye muishi katika maisha ya furaha na afia bora muzae kizazi chema hadi muhitimishane muwe pamoja kesho peponi maana ndowa nyingi huko nyumbani watoto wa kisasa hawaishi na mabwana mola wabariki amin mdau canada.
ReplyDeletehayo manywele fake yanini?
ReplyDeleteMashallah maharusi na wapambe wamependeza.
ReplyDeletehakika mmependeza,minawatakia kila la kheri katika maisha yenu mapya ya mwili mmoja. kaka london.
ReplyDeleteweee anon wa 12:58AM
ReplyDeletekweli mshamba, kubali tu wenzio wametoka chicha..
ebwana eee big up kwa maharusi, mmetoka bomba ile mbaya.
Bi harusi aumwa kwashakoo..au..!!!!
ReplyDeleteWee anon wa 12:33 AM, kweli mpori pori alokwambia hizo nyele ni "fake" nani? Unataka elimu ya kiwango gani itumike kuona kwamba hao wapambe na karibu kila mtu kwenye hizo picha ni muarabu/mhindi whatever...!? Hizo nywele zao babu punguza wivu wasifie maana wamependeza si mchezo lione kwanza sura kama nyau!!!
ReplyDeletesasa mbona hakuna hata mmoja anae onekana amekalia kibongo bongo jamani au ndio hawana marafiki wenye uonekano wa kibongo ?
ReplyDeleteWee anony wa April 06, 2009 2:20 PM, kwani hujawahi kuona watu wa rangi hiyo bongo? au wivu huo unakukondesha?
ReplyDeletehongereni sana bwana na bi salim.. ila if i may ask, huyu lubna ni yule lubna alimaliza shaaban robert au?
ReplyDeletedah, hapo raha ukiwa shemeji wapambe wote hao wa kike!!!!
ReplyDeletethats it the deal is done! inshaalah m/mungu akujazeni kheri, rizki iliyo ya halali na kizazi kilicho bora na akujaalieni furaha isiyo na kifani! Nitakumiss sana ktk zile harakati zetu za kibachelor mtu wangu halaf mwambie shem lubna nikiingia bongo break ya kwanza kwenu kula mahanju manaake itakuwa hatari si unajua b'gham sipati vitu adimu! Ally Gizzo
ReplyDelete