Habari za kazi kaka michuzi.
Mimi naishi maeneo ya Los Angeles, California natafuta mtu (watu) ambaye anaweza tukachangia container mwanzoni mwa mwaka 2010 kutoka hapa mpaka Dar-es-salaam.
Kwenye container hiyo mtu unaweza akatuma kitu chochote kupeleka nyumbani.Napatikana kwa ema mail
Asante sana
matayo
Kila kitu kipo nyumbani sasa hivi, hayo mazagazaga yako acha huko huo wewe njoo na cash tu. Kwanza gharama ya kuleta container ni kubwa kuliko kununua Bongo.
ReplyDeletewewe sasa unatafuta matusi si unaona mwenzio wa uk aliyekuwa anatafuta kazi part time alivyojibiwwa? subiri waamke wabeba box uone kazi yao.
ReplyDeletewe muosha kinywa tunaomba uache takataka zako huko huko, bongo siku hizi mswano,mali mpya na guarantee juu
ReplyDeletehivi aliyekwambia bongo kuna upungufu wa ma-container ni nani? au ndio unataka kugeuza nyumba ya kuishi. pale bandari salama yako mengi sana. laki na nusu unapata moja. acha kufanya bongo yetu jalala
ReplyDeletewabongo mna wivu kusikia tu mtu analeta container roho zinawachemka.
ReplyDeleteaje anunue hapo bongo awatajirishe wahindi. kilicho rahisi hapo bongo ni nini vitu havina hata warranty. nilikua hapo dec kitu unanunua unalipa hela nyingi tu muuzaji wala ha appreciate biashara yako. hata asante hana na hamna kurudisha. wacha huyo alete vitu vyake alishavinunua na kuvitaste kama hakutaka au anachange mind anakirudisha hata baada ya siku 30 huku mradi una receipt...huko bongo mambo ya varuvaru tu most of the mtu ni buy at your own risk. aghrrrr pressure ya nini?? wacha ajiingizie vitu vyake na nyie huko mkae kimya