Habari za kazi kaka michuzi.
Mimi naishi maeneo ya Los Angeles, California natafuta mtu (watu) ambaye anaweza tukachangia container mwanzoni mwa mwaka 2010 kutoka hapa mpaka Dar-es-salaam.
Kwenye container hiyo mtu unaweza akatuma kitu chochote kupeleka nyumbani.Napatikana kwa ema mail
Asante sana
matayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kila kitu kipo nyumbani sasa hivi, hayo mazagazaga yako acha huko huo wewe njoo na cash tu. Kwanza gharama ya kuleta container ni kubwa kuliko kununua Bongo.

    ReplyDelete
  2. wewe sasa unatafuta matusi si unaona mwenzio wa uk aliyekuwa anatafuta kazi part time alivyojibiwwa? subiri waamke wabeba box uone kazi yao.

    ReplyDelete
  3. we muosha kinywa tunaomba uache takataka zako huko huko, bongo siku hizi mswano,mali mpya na guarantee juu

    ReplyDelete
  4. hivi aliyekwambia bongo kuna upungufu wa ma-container ni nani? au ndio unataka kugeuza nyumba ya kuishi. pale bandari salama yako mengi sana. laki na nusu unapata moja. acha kufanya bongo yetu jalala

    ReplyDelete
  5. wabongo mna wivu kusikia tu mtu analeta container roho zinawachemka.

    aje anunue hapo bongo awatajirishe wahindi. kilicho rahisi hapo bongo ni nini vitu havina hata warranty. nilikua hapo dec kitu unanunua unalipa hela nyingi tu muuzaji wala ha appreciate biashara yako. hata asante hana na hamna kurudisha. wacha huyo alete vitu vyake alishavinunua na kuvitaste kama hakutaka au anachange mind anakirudisha hata baada ya siku 30 huku mradi una receipt...huko bongo mambo ya varuvaru tu most of the mtu ni buy at your own risk. aghrrrr pressure ya nini?? wacha ajiingizie vitu vyake na nyie huko mkae kimya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...