Hi Michuzi,
Wadau waliopo jiji la Liverpool tafadhali tuwasiliane kwa namba hii 02075571623 kuzungumzia maadhimisho ya miaka 20 ya Hillsborough. Leo kabla ya saa nane mchana saa za UK.
Wadau waliopo jiji la Liverpool tafadhali tuwasiliane kwa namba hii 02075571623 kuzungumzia maadhimisho ya miaka 20 ya Hillsborough. Leo kabla ya saa nane mchana saa za UK.
Shukran.
BBC Swahili.
kusema kweli watu wengine mnapeleka huu ushabiki little bit too far.Ni watanzania wangapi wanakumbuka haya maafa na wanajali hivi vitu kama si ushambenga wa kwenda mbele.
ReplyDeleteHow many of us really know the history apart from trophy winning history about the England teams? Tuwe wakweli.Kama kuna mtu anayejua maafa ya timu nyingine za uingereza(usitaje Liverpool na Man U) azielezee hapa.
ARE YOU CRAZYYYYYY!!!!!!
ReplyDeleteUNLESS UNAYE RELATIVE WAKO ALIYEKUFA UKO OTHERWISE NOPE.
this is too much, mkiambiwa you are sold out mnakasirika!!! get a life! ya kuombeleza kweli kweli ya kwenu hamuombelezi, mnang'ang'ania ya wazungu. maafa mangapi yametokea tanzania umemsikia mzungu gani hapa uk kuombeleza. unatutia kichefu chefu bure!!!!
ReplyDeleteMie liverpool Ila sio Siri Nimeeanza kuipenda Liverpoolfc kwajili ya Mjomba wangu wakati wa Umri Miaka 7 89 hiyo Ndio Miaka 7. Kuhusu hao Mashabiki Kufa nilikuwa hata Sijui mpaka Miaka Mitano Nyuma. Kweli naipenda Liverpool Ila huko tena Tunaenda Mbali mengine tuwaachie wenyewe, Huyu aliyeweka Hii kataka tu watu waseme. Ila kila mtu na upendo wake. washabiki wa Leeds nawezak usema Kuchomwa Visu Sijui kama walikufa huko Uturuki. Zaidi ya hapo sijui. ila napenda kusema FIFA wanazarau GAMES za AFRICA ile Ivory COast walitakiwa wasimamishe Game wawalipie MALAWI nauli ya kukaa HOTEL au KUondoka na Kurudi Ichezwe Siku Nyengine. AFRICA tunazalilishwa sana na Maamuzi ya FIFA. Pazi.
ReplyDeletethis is really crazy. sasa wewe mdau unaomboleza nini? ulimpoteza nani hiyo 1989? siajabu hata ulikuwa huijui UK by that time. waingereza wenyewe hawaombolezi na ni watu wa jamii moja. acha ushabiki ndugu. nenda bongo ukaomboleze ya MV Bukoba n.k. hayo ya liverpool waachie wenyewe.
ReplyDeleteJamani mie Ni Mdau Pazi niliweka Comment kuhusu Liverpool, Nimetizama tena Hayo maelezo ya Huyo Mdau mwenzetu sasa ndio nimeelewa Kwanini yote hayo yamekuja? KAuliza swali nani yupo jiji la Liverpool? katowa nambari inaonesha ni ya London, na ni mtu wa BBC Swahili inaonesha ni watu wa BBC swahili Michezo kila jumamosi wanatangazia mpira wa Kiswahili wameeona moja ya Rekodi zao za maongezi wanaweka kwenye BBC SWAHILI MICHEZO JUMAMOSI, ndio navyofikiri mie pengine tusimlalamikie sana anafanya kazi yake KIBARUA tusimuharibie. Pazi.
ReplyDeletewadau wengine hovyooo.ni kutaka kuwatia njaa waosha vinywa tu hapa.uwe mshabiki wa LFC or not lkn huo msiba wala haulingani na wewe.shabiki yeyote wa LFC asiye raia wa jumuiya ya UK wala hakugushwa ki hivyo na msiba huo.ni sawa na mtanzania kutaka kuomboleza mashabiki wa Senegal waliokufa hivi juzi juzi.
ReplyDeleteaniweiziiii,kila mtu ana haki ya kufanya anachotaka.exercise ur freedom n democracy!!!!!!!!!!!!!!
Wadau wenzangu wa blog tuwe waangalifu. Sometimes tunahisi kwamba tunaweza sema chochote hapa kwa sababu ya usalama wa kuwa kwenye computer, and nobody is seeing you for the mouthfuls of senselessness you spout here..
ReplyDeleteSioni kosa kwa huyo mdau wa bbc swahili kuomba contact. Kama nyinyi wengine mlianza kufatilia mpira juzi, shauri yenu. Hawa wenzetu wametoka mbali, na ni tukio kubwa kwao siku ya leo. Wana historians, ambao wanaweza kutunza kumbukumbu zao na kuwafanya hata watoto wao wajue what happened and the impact of that on their club todate. Ni kosa la nani kwamba leo Tanzania hatukumbuki majanga mengi ambayo yametokea nchini kwetu? Leo hii hapa nyumbani watoto hata hawajui kilichotokea mv victoria, kosa ni la nani? Wazazi? Serikali? Mjichunge jamani....
Wengi mnaoongea hapa naweza kusema si washabiki wa Liverpool. Sisi kama washabiki wa Liverpool tuna umoja wa kindugu na si wa kuokota.. Leo hii tunaomboleza kifo cha wenzetu. Na ndio, wengine tulikuwa huko Uingereza miaka hiyo, na kwa ukaribu wetu wa enzi hizo tunazo familia-rafiki ambao walipoteza ndugu zao. So if you don't have anything just shut up and don't offend others. Kama mna majanga yenu na hamyakumbuki usimlaumu mtu jilaumu mwenyewe!!!
Mnaboa, na hii ni mara yangu ya kwanza hapa!
Nawakilisha..
mother of aall ilikuwa gabon chipolopolo mie siyo mzambia ila nilivyomsikiliza Denis liwewe wa ZNBC machozi yalinitoka nikiwa bongo. na ndo maana munich disaster huwa inanigusa mpaka leo juu zinafanana fanana. vitu kama hivi ndo huunganisha wapenda soka duniani. by the way nilitembelea makaburi ya kk 11 na ukiwa hapo nywele za shingo zinakusimama/.
ReplyDelete