Hayati Ramadhani Faraji

Kufuatia msiba mzito wa ndugu yetu Ramadhani Faraji a.k.a Rama bwela,uliotokea hapa barcelona siku ya ijumaa tarehe 02 april mwaka huu wa 2009, tungependa kuwafahamisha watazania wote wanaoishi ndani na nje ya Spain ya kwamba utaratibu wa kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi zinaendelea.

Siku na mahali itakapofanyika shughuli ya kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwa mazishi mtajulishwa mara tu itakapo julikana. Jumuia ya watanzania hapa Barcelona inakaribisha mchango wa hali na mali katika kufanyikisha shughuli hii.

kwa maelezo zaidi waweza wasiliana na wahusika wafuatao 
Brown E.B simu namba 0034699600531        
 au 
A.S.Kwanza simu namba 0034608654084        

pia tunatoa rambirambi za dhati kwa familia na ndugu wa marehemu na kuwaomba subira na uvumilivu wakati mipango ya kumsafirisha marehemu zikiendelea.

MOLA AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU - AMINA
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa na watanzania wote wa hapo barcelona, Mwenyeezi Mungu atawapa subira katika kipindi hiki kigumu na Inshaallah Mwenyeezi Mungu atamweka marehem mahala pema AMIN.
    Naomba kuuliza bwana Brown E. B. ni Brown E. Balige au?

    ReplyDelete
  2. HAYATI

    samahani na poleni sana wafiwa

    amen

    ReplyDelete
  3. dahh poleni , ni kazi ya mungu , safari yetu sote , mungu amlaze pema peponi amin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...