mwenyekiti wa yanga imani madega akiongea na globu ya jamii juu ya gemu lao na simba jana nesho. watani hao wa jadi wa msimbazi na jangwani walitoka sare ya 2-2

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Tumechoka na Simba na Yanga zoa.

    ReplyDelete
  2. Huyu nae sijui anongea nini? ovyooooo...eti kiongozi wa soka tanzania..!

    ReplyDelete
  3. Yanga tafuteni kiongozi mwenye sura nzuri.

    ReplyDelete
  4. sometimes i cant believe kwamba huyu jamaa ni lawyer. he doesnt have the jurisprudence that all lawyers need....

    anyway yanga kuwa mabingwa wa afrika ndoto! mtaendelea hapa hapa bongo kwa ushindi wenu wa kununua! nje watu wanapiga mpira haongwi mtu! poleni yanga na bosi wenu huyo hamfiki popote!!!

    ReplyDelete
  5. kama huyo ndio kiongozi wa soka tena wa timu inayosemekana kwamba inaendeshwa kisasa halafu anaongea upuuzi hivyo mh......... mi simo

    ReplyDelete
  6. Viongozi wengine wanaongea sio kama Umri wao wanaongea kama Vijana kijiweni wakiaanza ubishi wa michezo. mie sio Yanga wa Sio Simba ni Pan African ila yule Ndio Mfundishaji wa Simba peke yake katika zile video ndio kaongea ya Maana.

    ReplyDelete
  7. Michu mbona una habari za Madega na listi ya Yanga tu kwenye kideo? Yanga walicheza wenyewe wenyewe?

    ReplyDelete
  8. mwenyekiti unayetegemewa na wana yanga unathubutu kusema eti simba ni washamba huku sindio kujenga chuki,mbona unaonekana sio mwana spoti mind your language brother washabiki wa msimbazi wanaweza kukuvuruga mara moja.

    ReplyDelete
  9. HE DOESN'T HAVE LEADERSHIP QUALITY.

    MAJUNGU,FITINA, ZENGWE, OVYOOO.
    THERE IS NO WAY WE CAN STEP UP OUR GAME WITH THIS NON SENSE LEADER. HE SEEMS UNEDUCATED,UNCIVILIZED, PRIMITIVE. THAT'S THE REOSONS MOST OF CLUBS LEADERS DON'T ALIGN WITH MAXIMO. HIS INTERVIEW IS NOT CONSTRUCTIVE, BUILDING UP ENEMITY(CHUKI, FITINAMIZENGWE). IS THIS KIND OF LEADER WE NEED? HELL NO!

    IT IS WHAT IT IS.

    ReplyDelete
  10. HUYU SIO MWANA MICHEZO KABISA, MWANAMICHEZO NI YULE ANAYESEMA HAKI INAPOTENDEKA,SIFIA PALE INAPOBIDI, NILIMSIKIA KISASA AKIZUNGUMZA KUWA MECHI ILIKUWA NZURI NA KILA TIMU ILICHEZA VIZURI HASA SIMBA SEHEMU YA KIUNGO ILIDHIBITI NA KUCHEZA VIZURI SANA, HUYU NDIO MWANA MICHEZO HASWAAAA ANAYETAKIWA NA YANGA SIO HUYO ETI MWANASHERIA, TENA TUNAANZA KUWA NA WASIWASI NA ELIMU YAKE VILEVILE.

    IMANI MADEGA BOSI WA YOUNG AFRICANS KUWA MUUNGWANA, HUJUI HATA MAANA YA YOUNG AFRICAN SASA KAMA UNAANZA KUWAITA WENZIO WASHAMBA WALIPOKUTANDIKA MIAKA YOTE ILE ULIKUWA WAPI AU NDIO SASA NA WEWE USHAMBA UNAKUTOKA KWA USHINDI WA MECHI MOJA NA DROO YA JUZI? MUUNGWANA NI VITENDO BWANA

    ReplyDelete
  11. true sport man hapa ni ferg anaongelea juu ya livapool mnataka aseme uzuri gani? au mnataka tuue utani wa jadi? that was perfect interview ndo tunataka sisi wanayanga and if that is what put us at the top? let it be

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...