Nabu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akikata utepe kufungua maonyesho ya siku mbili ya asasi za kiraia kwenye viwanja vya Baraza la Wawakilishi mjini Unguja. Picha na mdau martin kabemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nafurahi kukuona Rais Mtarajiwa
    Big up sana

    ReplyDelete
  2. wewe mtuma maoni wa kwanza,are real? shamhuna rais mtarajiwa toka lini? mbona watu mnatumia maneno na majina bila ya kujua maana yake?

    ReplyDelete
  3. Kitamenyeka Mugwini, UholanziApril 20, 2009

    Mtu mwenye roho ya korosho kama huyo Shamhuna hawezi asilani kupewa ridhaa ya kuwaongoza wananchi kwa gharama yoyote. Hata hiyo nafasi aliyopo ni ya kubebana tu, hastahili hata kidogo. Angeonyesha uwezo wa kuongoza angalau wizara ndogo aliyopewa ya michezo, lakini kila kukicha ni majungu na kuwatishia waliopo chini yake kuwa atawakomoa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...