Hi kaka ,
Habari za kuendeleza Libeneke,nakuona na the fulanazzzzzzzzzzzzz.
Haya check picha hiyo ya Mapaparazi, wakiwa na ngazi kwa ajili ya kupata Picha nzuri..sasa inabidi na Mapaparazi wa Bongo wawe na Kazi ya ziada ya kubeba ngazi ,na hizi dala dala zetu,

mdau,
Flo%

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo ilikuwa siku ya mazishi ya Jade ndio maana.

    ReplyDelete
  2. sasa kwa nini wote wasisimame chini tu washindane kwa visigino vya viatu. hapo ni kama wame raise the ground level na kesho ngazi zitazidi kupanda tu...who knows to where...na bongo insurance hamna...hizo ngazi wakikanyagana tuna hela za kuwatibu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...