katibu mkuu wa shirikisho la soka (tff) frederick lameck mwakalebela akiongea na waandishi wa habari leo kuhusu ujio wa soka la ufukweni ambalo fifa imeridhia ianzishwe bongo.
mwakalebela amesema tayari shirikisho hilo la soka la dunia katika bajeti yake ya kila mwaka ya mgao kwa vyama shiriki wametenga mkwanja maalumu kwa soka la ufukweni ambalo linapata umaarufu kwa kasi duniani kote.
katibu mkuu huyo amesema pamoja na kuwa ni mchezo pia soka la ufukweni ni kivutio kikubwa cha utalii na kwamba kwa kuanzia wataanza na wachezaji wakongwe na anategemea mafanikio makubwa ikizingatiwa bongo imejaaliwa fukwe safi na ndefu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mmelilia uwanja sasa mmejengewa,HatUoni mNacho KifAnya sAsa mWadai MchangAni sIvitukO iVo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...