bosi wa mauzo na huduma wa stanbic lilian kitomari (kulia) na bosi wa masoko wa benki hiyo abdallah singano wakimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 mkurugenzi wa kanbern international agemcy bernard kanizio baada ya kampuni yake kushinda promosheni ya banking on winning

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HIzi pesa kama ziko za kumwaga kwa nini zisiweke zikasaidia campaign ya mazingira...company za TZ zinaweza zikaonyesha what we call "social responsibility" kwa jamaii kwa kujenga mabara bara yaliyo mabovu kila sehemu na kuongeza sera ya kuiendeleza nchi kama serikali yetu imeshindwa basi ni wajibu wetu wananchi na kampuni zinaweza zikajitangaza kwa hii njia. Toa funda za kuisaidia familia kukomboka na umaskini, etc baada ya kenda na kumwaga sherehe ya soda na maandazi kwa siku moja.

    ReplyDelete
  2. Lillli Mtalllliiiiiii! mambo naona mswano!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...