Ofisa uhusiano wa kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo Jackson Mmbando akizindua rasmi mbele ya waandishi wa habari promosheni ya Babuka na mchuma ya Tigo itakayoendeshwa kwa miezi miwili ambapo wateja wa Tigo watatuma neno Tigo mchuma kwenda 15713 na kujipatia nafasi ya kuibuka washindi wa magari hayo pamoja na muda wa maongezi, kulia ni Davidi Zakaria msimaizi wa viwango vya Huduma za wateja Tigo. promosheni itadumu kwa miezi miwili na kila mwezi gari moja kushindaniwa pamoja na muda wa maongezi wa shilingi 5000 kwa wateja 50 kila wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. acheni wizi nyie tiGO.

    Sitowasahau mlivyoniliza na ile bahati nasibu yenu ya tajirika japokuwa nina uhakika kabisa nilikuwa nimeshinda kwenye ile category ya mtu anayetuma pesa mingi zaidi ndio kuwa mshindi.

    Nasikia mnapeana hizo zawadi. At least during mchezo wa tajirika habari za kupeana zawadi zilivuja kwa hiyo rekebisheni hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...