
bango linaloonesha kanda za dar ambazo zitadhaminiwa kumpata mwakilishi wao katika miss vodacom tanzania 2009 kama lilivyozinduliwa leo usiku katika much more club ya billicanas

jackson kalikumtima, mwandaaji wa miss ilala akitoa shukrani kwa tbl ambayo kupitia kilaji chake cha redds premium cold ndio wadhamini wa michuano ya kanda tatu za dar. wanaofuatia ni yusuf george a.k.a boy george (mwandaaji wa miss kinondoni), prashant patel (mwenyekiti na mwanzilishi wa miss tz) david minja (bosi wa masoko wa tbl) na kisaka (mwandaji wa miss temeke)

bosi wa masoko wa tbl david minja akihutubia wageni walioalikwa kwenye uzinduzi huo

mwenyekiti na mwanzilishi wa miss tz prashant patel akiwa na waandaaji wa kanda tatu za dar pamoja na miss tz UK. toka shoto ni jackson kalikumtima (ilala). boy george (kinondoni) kisaka (temeke) na juma pinto (UK)
kuuliza si ujinga hivi kwanini ma braza wote wanao andaa mpambano wa ma miss ni viwembe ?kwa uchunguzi wangu nimegundua hivo sasa naona wana ajenda zao kujihusisha
ReplyDeletekumjibu mchangiaji wa mwanzo mimi sijui kama ni kweli au si kweli, lakini kilichonishangaza ni pale rijali mzima anapojibandika jina la boy george. wengi tulio nje tunamjua almaarufu boy george.
ReplyDeleteMdau wa comment namba 2, kweli nimekumbuka jina la Boy George wa Kulture Club na mambo yake, sijui kwa nini asichague jina kama Msolopagas jina la asili ya Afrika.
ReplyDelete