
Mhe. Anna Abdallah Mbunge wa viti maalum (ccm) akisalimiana na Mhe.Elisa Mollel (ccm Arumeru Magharibi .Kulia ni Naibu Waziri wa Elimi na Mafunzo ya Ufundi Mhe.Mwantumu Mahiza viti maalum ccm na nyuma ya Anna Abdallah ni Mhe. Tatu Ntimizi Mbunge wa Igalula Tabora .

Mhe. Bujiku Sakila CCM katikati akiwa na wabunge wenzake wa CCM.Kushoto ni Christopher Ole Sendeka na Kushoto ni Mhe. James Lembeli Kahama. Picha na Anna Itenda wa Maelezo
Nafikiri huyo ni Ole Sendeka (Simanjiro) labla kama ni "Identical twins" na Michael Lekule Laizer(Longido)
ReplyDeleteDah! Enzi za Mwalimu walikuwa ndugu hao, siku hizi sio ndugu zetu tena.
ReplyDeleteHuyo ni Christopher Ole Sendeka siyo Michael Lekule Laizer Ni hayo tu kwa leo.
ReplyDeleteWako katika Ujenzi wa Taifa, NDUN'GANI NAKAIYO DONGO wa SLP 4 Kibaya Kiteto
Jamani huyo mama Tatu ntimizi hazeeki, tangu namuona miaka ya mwanzo ya tisini yupo hivyo hivyo!!!!
ReplyDeleteIssa kama unatembelea huku kwenye maoni basi ubadilishe. Kushoto ni Christopher Ole Sendeka. Tafadhali fanya editing hii habari
ReplyDelete