JK akiwa na Mzee John Samwel Malecela na mai waifu wa mzee Mh. Anne Kilango Malecela na viongozi wengine na wake zao kwenye hafla ya kusherehekea hepi besdei ya 75 ya kuzaliwa kwa Mzee Malecela pamopja na mabinti wa Mzee malecela.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Picha nzuri sana. Mzee Malecela 'hepi bday'.
    Utamaduni: ninawapongeza sana waheshimiwa Warioba, Pinda, Msekwa, na Malecela mwenyewe kwa suti walizovaa. Washauri wao wa mavazi ni wabunifu. Suti hizi hazijapunguza uzito wa tukio, na pengine zimeliongezea uzito zaidi!!!

    ReplyDelete
  2. Mbona Mkapa hayupo????

    ReplyDelete
  3. kulikoni mtoto wa mkulima,prime minister, kila mara anaonekana ana mawazo sana?
    hakupewa finyango (a.k.a nyama au msosi) wa kutosha nini?

    ReplyDelete
  4. Mkapa yuko wapi?

    ReplyDelete
  5. birthday ya Malecela au kikwete? mbona kikwete amekaa katikati? tena kati ya mume na mke!!!!!

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Mama Malecela,kwanza unatuletea heshima wapare wenzako na TZ kwa ujumla.Upo juu.

    Bwana Mkubwa anazidi kuwa na busara kwasabau yako bibie.Happy Bday Malecela.

    ReplyDelete
  7. tabaka tawala; picha nzuri sana ; inatia moyo kuona wote wapo pamoja ; ingawa f. president mkapa hakuwepo ; may be hakualikwa maana mama kilango anatuma makombora mengi sana kwa mafisadi;

    ReplyDelete
  8. tanzania ruling elites, capitalism oyeeeeee, sina uhakika kama wanainchi wa manzese wanasherekea b-day zao,

    ReplyDelete
  9. Hongereni sana Seche my friend kwa mipangilio yoote ya kufanikisha milestone birthday ya baba yenu...Mungu awabariki nyote.

    JJK. T.O.

    ReplyDelete
  10. ni kweli nami nilishangaa kumuona mheshimiwa kabisa katikati ya mr&mrs. mpangilio kwa walioketi ilitakiwa hivi (kushoto kwenda kulia):-
    1.) rais kikwete
    2.) waziri mkuu pinda
    3.) spika msekwa
    4.) rais mstaafu mwinyi
    5.) waziri mkuu mstaafu malecela
    6.) mh. anne kilango
    7.)...

    ReplyDelete
  11. SWALI:
    ivi hii bethidei hii sii MLISEMA MLIFANYA NA WATOTO YATIMA SIJUI,WAKO WAPI KTK PICHA??mboni imekaa kisiasa zaidi???au michu uliibandika hii tu kuna zingine??

    jamani??bethidei yooote hii,ilhali kuna watoto/watu wasiojiweza kabisa ni suala tu la kumuwezesha japo karo ya shule au kama ni msingi ni uniform na vitendea kazi tuuu???!!!

    aya walio juu usimngoje chini hashuki NG'OOO

    ReplyDelete
  12. Hongera sana Mwele na wadogo zako,kwa shughuli nzuri mliyoifanya, kwa kweli ukubwa ni jaa na umeuweza hongera mno! big up!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2009

    wonderful picture.congrats mzee j.m tunakupenda mnoo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...