Home
Unlabelled
wah. wajitokeza kumpongeza mzee Malecela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha nzuri sana. Mzee Malecela 'hepi bday'.
ReplyDeleteUtamaduni: ninawapongeza sana waheshimiwa Warioba, Pinda, Msekwa, na Malecela mwenyewe kwa suti walizovaa. Washauri wao wa mavazi ni wabunifu. Suti hizi hazijapunguza uzito wa tukio, na pengine zimeliongezea uzito zaidi!!!
Mbona Mkapa hayupo????
ReplyDeletekulikoni mtoto wa mkulima,prime minister, kila mara anaonekana ana mawazo sana?
ReplyDeletehakupewa finyango (a.k.a nyama au msosi) wa kutosha nini?
Mkapa yuko wapi?
ReplyDeletebirthday ya Malecela au kikwete? mbona kikwete amekaa katikati? tena kati ya mume na mke!!!!!
ReplyDeleteHongera sana Mama Malecela,kwanza unatuletea heshima wapare wenzako na TZ kwa ujumla.Upo juu.
ReplyDeleteBwana Mkubwa anazidi kuwa na busara kwasabau yako bibie.Happy Bday Malecela.
tabaka tawala; picha nzuri sana ; inatia moyo kuona wote wapo pamoja ; ingawa f. president mkapa hakuwepo ; may be hakualikwa maana mama kilango anatuma makombora mengi sana kwa mafisadi;
ReplyDeletetanzania ruling elites, capitalism oyeeeeee, sina uhakika kama wanainchi wa manzese wanasherekea b-day zao,
ReplyDeleteHongereni sana Seche my friend kwa mipangilio yoote ya kufanikisha milestone birthday ya baba yenu...Mungu awabariki nyote.
ReplyDeleteJJK. T.O.
ni kweli nami nilishangaa kumuona mheshimiwa kabisa katikati ya mr&mrs. mpangilio kwa walioketi ilitakiwa hivi (kushoto kwenda kulia):-
ReplyDelete1.) rais kikwete
2.) waziri mkuu pinda
3.) spika msekwa
4.) rais mstaafu mwinyi
5.) waziri mkuu mstaafu malecela
6.) mh. anne kilango
7.)...
SWALI:
ReplyDeleteivi hii bethidei hii sii MLISEMA MLIFANYA NA WATOTO YATIMA SIJUI,WAKO WAPI KTK PICHA??mboni imekaa kisiasa zaidi???au michu uliibandika hii tu kuna zingine??
jamani??bethidei yooote hii,ilhali kuna watoto/watu wasiojiweza kabisa ni suala tu la kumuwezesha japo karo ya shule au kama ni msingi ni uniform na vitendea kazi tuuu???!!!
aya walio juu usimngoje chini hashuki NG'OOO
Hongera sana Mwele na wadogo zako,kwa shughuli nzuri mliyoifanya, kwa kweli ukubwa ni jaa na umeuweza hongera mno! big up!
ReplyDeletewonderful picture.congrats mzee j.m tunakupenda mnoo
ReplyDelete