globu ya jamii imetembelea mji mkongwe wa bagamoyo na kukuta wasanii hawa wenye vipaji wainadi kazi zao. je wadau mnaonaje endapo kama kuna anayejua soko lao  akajitokeza kuwasaidia?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. KWA WELI HAWA JAMAA NI WATAALAM WAZURI SANA. WADAU MWENYE KUJUA SOKO HAWA NDUGU WANAHITAJI MSAADA. HONGERA ZENU WADAU KWA KAZI NZURI NA KUJITUMA KWENU.

    ReplyDelete
  2. jamani ni globu au blogu,mnanichanganya

    ReplyDelete
  3. kaka misupu tunajua unakwenda na wakati lakini please tafadhali tunakuona tuwekee zaidi picha za mnato kama zamani wengine sie video kufunguka issue.

    ReplyDelete
  4. Ni wabunifu wazuri. Tatizo soko.Mimi nadhani wanaweza kubuni mbinu ya kuweka sanamu za marehemu juu ya makaburi. Kwa kutengeneza masanamu ya watu mashuhuri au viongozi haitawalipa haraka. Wategee mtu mashuhuri akifariki watengeneze sanamu haraka na watoe kama mchango wao. Utaona watu wataiga haraka haraka. Si uliona kaburi la baba wa Taifa watu walivyoiga!

    ReplyDelete
  5. kwa kweli vijana mnafanya kazi nzuri ni muhimu seikali na mabenk yawasaidie mapema ili wawez ekutengeneza na kufnaya fisnihing nzuri wawaweke watu maarufu na nyuma ya sanaa wanunue na kuwalipa vijana wasonge mbele. pia

    ReplyDelete
  6. gharama zao zikoje kaka misupu? maana ningependa wanitengenezee ya kwangu na mimi niiweke kwenye jiwe la juu ya swimming pool yangu ya ghorofani, au kwenye jacuzzi ndo itakuwa bora zaidi...

    ReplyDelete
  7. Hi bro Michuzi,

    I know these guys in Bagamoyo na huyu anayehojiwa ni uncle yangu anaitwa Doto aka donti.

    Mdau anayehitaji kujua gharama anitumie email kigu10@yahoo.com na ntamuulizia na kuwasiliana nae.

    Big up sana kwa kuonyesha moyo na kuonyesha kazi za wasanii hususani hawa wa Bagamoyo, ni kweli wanahitaji msaada wa masoko hususani toka kwa wabongo wanaoishi Europe na America.

    Thanks.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...