globu ya jamii imetembelea mji mkongwe wa bagamoyo na kukuta wasanii hawa wenye vipaji wainadi kazi zao. je wadau mnaonaje endapo kama kuna anayejua soko lao akajitokeza kuwasaidia?
Home
Unlabelled
wasanii wa bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KWA WELI HAWA JAMAA NI WATAALAM WAZURI SANA. WADAU MWENYE KUJUA SOKO HAWA NDUGU WANAHITAJI MSAADA. HONGERA ZENU WADAU KWA KAZI NZURI NA KUJITUMA KWENU.
ReplyDeletejamani ni globu au blogu,mnanichanganya
ReplyDeletekaka misupu tunajua unakwenda na wakati lakini please tafadhali tunakuona tuwekee zaidi picha za mnato kama zamani wengine sie video kufunguka issue.
ReplyDeleteNi wabunifu wazuri. Tatizo soko.Mimi nadhani wanaweza kubuni mbinu ya kuweka sanamu za marehemu juu ya makaburi. Kwa kutengeneza masanamu ya watu mashuhuri au viongozi haitawalipa haraka. Wategee mtu mashuhuri akifariki watengeneze sanamu haraka na watoe kama mchango wao. Utaona watu wataiga haraka haraka. Si uliona kaburi la baba wa Taifa watu walivyoiga!
ReplyDeletekwa kweli vijana mnafanya kazi nzuri ni muhimu seikali na mabenk yawasaidie mapema ili wawez ekutengeneza na kufnaya fisnihing nzuri wawaweke watu maarufu na nyuma ya sanaa wanunue na kuwalipa vijana wasonge mbele. pia
ReplyDeletegharama zao zikoje kaka misupu? maana ningependa wanitengenezee ya kwangu na mimi niiweke kwenye jiwe la juu ya swimming pool yangu ya ghorofani, au kwenye jacuzzi ndo itakuwa bora zaidi...
ReplyDeleteHi bro Michuzi,
ReplyDeleteI know these guys in Bagamoyo na huyu anayehojiwa ni uncle yangu anaitwa Doto aka donti.
Mdau anayehitaji kujua gharama anitumie email kigu10@yahoo.com na ntamuulizia na kuwasiliana nae.
Big up sana kwa kuonyesha moyo na kuonyesha kazi za wasanii hususani hawa wa Bagamoyo, ni kweli wanahitaji msaada wa masoko hususani toka kwa wabongo wanaoishi Europe na America.
Thanks.