Why Tanzania won’t back down on land in bloc deal
By Kenyan standard reporter
By Kenyan standard reporter
Tanzania remains opposed to proposals relating to land ownership in a common market protocol for the East African Community (EAC), a minister said, signalling an impasse likely to delay any deal.
The EAC which comprises Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda and Burundi has set itself a January 1, 2010 target to have an operational common market that would allow the free movement of goods, services, people and capital within the bloc.
Kenya says the EAC could sign the common markets deal, designed to boost trade within the bloc, by the end of this month, but for Tanzania’s reservations over issues concerning travel documents, land ownership and the right of permanent residence.
Tanzania’s EAC Affairs Minister Diodorus Kamala said his country still opposed proposals that citizens from other EAC states could own land in Tanzania through a proposed law that would override the country’s own legislation.
"What we don’t want to have in the protocol is to have it saying ‘All East Africans are guaranteed to access land in Tanzania.’ Because it is not our obligation. So that is non-negotiable," Kamala told Reuters in an interview.
Under Tanzanian law, the Government holds all land in trust. Investors, including foreigners, can lease it for fixed periods.
The system is a relic of Tanzania’s socialist past when the government took possession of all land and herded large numbers into villages and had them working on communal land.
Clarification needed
Tanzania wants clarity about who would qualify for permanent residency, but says anyone who has gainful employment would be granted residence during the duration of their employment.
"What we agreed is that if you go to Tanzania, Kenya, Rwanda or Burundi then get a job, you should be allowed to stay there to work," Kamala said.
"But if you want to come to Tanzania with no job, no legitimate economic activity, it doesn’t make sense."
Tanzania also wants national passports, the East African passport and temporary passes to be the only valid travel documents, not national ID cards, which it currently lacks.
Kamala rebuffed any suggestion Tanzania was holding back the protocol: "Every partner is a sovereign state.
Saying that because Tanzania has a different view, so that is holding back, that is nonsense."
The EAC launched a customs union for three of its largest economies, Uganda, Tanzania and Kenya, in 2005. Rwanda and Burundi are expected to join it in July. The union sets common tariffs for goods entering the region.
Saying that because Tanzania has a different view, so that is holding back, that is nonsense."
The EAC launched a customs union for three of its largest economies, Uganda, Tanzania and Kenya, in 2005. Rwanda and Burundi are expected to join it in July. The union sets common tariffs for goods entering the region.
jamani naomba mnisaidie hivi kumbe Burundi na Rwanda bado hazijajiunga rasmin sababu nikiangalia site ya EAC naona ni nchi tano lkn hapa wanasema zinategemea kujiunga in July ipi sahihai hasa
ReplyDeletetatizo la hawa wenzetu wanajifanya wana akili nyingi sana kuliko sisi-inapotokea tunapigania maslahi yetu wao wanalalamika kama, ni hivo na wao si waseme kama ardhi yao hawaruhusu wageni ili mambo mengine yaendelee badala yake wanang'ang'ania mambo ya ardhi yetu,hapo ndo utajua kuna kitu wanachokitaka kutoka kwetu.Watanzania sio wajinga kiasi hicho jamaa wasitulazimishe kufanya maamuzi wanayoyataka wao sisi ni nchi huru na tunaamua tunachoona sahihi.hawa jamaa wanajifanya wajanja sana..na kama vp watanzania wajiondoe tu tubaki na SADC yetu inatutosha kuliko kuwa na umoja wa mashaka kama huu wa EAC..hawa jamaa hawatutakii mema hata kidogo kwani wao baada ya kuona tanzania inaanza kupiga hatua ndo wanaanzisha habari zao za muungano.
ReplyDeletetatizo la hawa wenzetu wanajifanya wana akili nyingi sana kuliko sisi-inapotokea tunapigania maslahi yetu wao wanalalamika kama, ni hivo na wao si waseme kama ardhi yao hawaruhusu wageni ili mambo mengine yaendelee badala yake wanang'ang'ania mambo ya ardhi yetu,hapo ndo utajua kuna kitu wanachokitaka kutoka kwetu.Watanzania sio wajinga kiasi hicho jamaa wasitulazimishe kufanya maamuzi wanayoyataka wao sisi ni nchi huru na tunaamua tunachoona sahihi.hawa jamaa wanajifanya wajanja sana..na kama vp watanzania wajiondoe tu tubaki na SADC yetu inatutosha kuliko kuwa na umoja wa mashaka kama huu wa EAC..hawa jamaa hawatutakii mema hata kidogo kwani wao baada ya kuona tanzania inaanza kupiga hatua ndo wanaanzisha habari zao za muungano.
ReplyDeleteWATANI WALIYUKEBEHI SANA KWA SIASA YETU YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA,WALISHABIKIA UBEPARI SASA WANAVUNA.ARDHI YOTE YA KENYA IKO MIKONONI MWA WATU WA CHACHE NA KIBAYA ZAIDI NI WAGENI NDIO WAMILIKI.WAKULIMA WA JEMBE LA MKONO HAWANA NAFASI ATA YA KUMILIKI NUSU HEKA,PERMANENT RESIDENCY(WHY TO DAY)E.A.C WAO NDIO WALIO IVUNJA NA UCHUMI WETU ULIPOYUMBA KUTOKANA NA VITA VYA NDULI NA UKOMBOZI WA NDUGU ZETU WA KUSINI WAKENYA WALITOA MSAADA GANI KWETU?MIEZI KUMI NANANE YA KUPANGA FOLENI YA KILO YA SUKARI,WATANZANIA TULIVUMILIA LEO HII KUNA VIJANA WETU WENGI WAKO NJE NA NDANI YA NCHI KATIKA KUPATA ELIMU ILI WAJE KULITUMIKIA TAIFA,HAO NDIO PERMANENT RESIDENCY WETU.MUNGANO WA EU KILA NCHI WANATUMIA PASPORT ZAO KWANINI LEO WAKENY MKO TAYARI TENA KWA HARAKA KUUKANA UKENYA WENU,SISI NDIO WENYE CHANDIMU NA MWENYE CHANDIMU LAZIMA APANGWE,TUTASHIRIKIANA KWA MAMBO AMBAYO YANA MANUFAA SIO KUTULAZIMISHA,UHUMI WETU TUMEUKALIA KWA MUDA MREFU ILI KUPATA NJIA MUAFAKA KUGAWANA NA WANANCHI WETU.KAMA MNAONA TABU BASI SIO LAZIMA,KENYA MNA BORDER NA SUDANI,UGANDA,ETHIOPIA NA SOMALI HULKA ZENU ZINA SABIHIYANA KWANINI MSIUNGANE KWANZA ALAFU TUKIONA MAFANIKIO TUTAKUJA NDUGU WAKWELI WA TANZANIA NI NCHI ZA SADC AMBAKO TUMWAGA DAMU KWA AJILI YAO NA HATA WAKATI WAMATATIZO YETU WALITUFARIJI NI HERI TUKA UNGANA NA HAO KWANZA.
ReplyDeleteKwani nikulazimishwa kujiunga kwenye hio jumuia?
ReplyDeleteMbona hata Swiss haikulazimishwa kujiunga kwenye jumuia ya Ulaya
Tanzania na watanzania tukaze uzi huo huo, tukija ridhia wayatakayo tutakuja juta majuto ya mjukuu. wananchi wa UK wanalia kwa masharti ya kila siku ya EU, ni kama serikali ya UK haina nguvu kabisa! kila siku unasikia mtu anachukuwa kesi yake (iliyokwisha pitishwa hukumu uk) kwa EU na EU mara nyingi inabadili hukumu iliyotolewa UK.
ReplyDeleteTena kuna suali la watu kutoka EU countries wanaingia UK hawana kazi na wanaanza kuchukuwa benefit ikiwa pamoja na nyumba wakati wenyeji wanahangaika mno kuzipata.
Pia kuna tatizo la wizi na ujangili, idadi ya wizi na ujangili wa raia wa EU unazidi kuongezeka kila siku.
Hebu na tujiulize kwa makini sana kwa nini hawa jirani zetu wanasisitiza sana juu ya suali la kumiliki ardhi? kwa nini hasa? kuna sababu kubwa mno ambayo inawafanya hawa jamaa wang'ang'anie suali hili. na ningelipenda kujua sababu zao.
naomba kuuliza hapa wenzangu.
ReplyDeleteEti watanzania tunaopewa lease za miaka 33 na wale wanaopewa za miaka 66 kuna sababu gani behind?
mimi natak alease ya miaka 66 au 99 nifanyeje?
Hongera waziri D. kamala. Kwa mara ya kwanza tunawaziri anayejua kusema hapana ama sivyo ingekuwa wale wengine tuliowazoea wangesema ruksa na tayari angekuwa ameweka sahihi. You are my heroe!
ReplyDeletekwa nini wanasisitiza juu suali la kumili ardhi? au wameona kuna madini sehemu fulani na watanzania hatupajui?
ReplyDeletekama umuhimu ni muungano tu, basi unaweza kufanyika bila ya suali la kumiliki ardhi kukubaliwa na tanzania. on UK wako katika EU lakini hawakubaliani na kuiua £ yao na kutumia euro. Pia hawakubaliani na visa ya Schengen na muungano haujaweweseka.
jamani mimi elimu yangu ni ya chini ya mgomba, lakini nakumbuka fika katika somo la jiografia kuwa nchi tatu tu ndio zilizopo katika upande wa mashariki ya afrika (east africa) nazo ni tanzania (tanganyika and zanzibar),, kenya na uganda. sasa ni lini upande huu wa afrika ulitanuliwa hadi ikawa burundi na rwanda wanahesabika kama wapo mashariki ya afrika?
ReplyDeleteproud
SIO LAZIMA SANA KIIVO KUJIUNGA NAO EA KAMA MAMBO YENYEWE NI KUKOMALIA ARDHI,VIBALI VYA URAIA NA KAZI TANZANIA TU????
ReplyDeleteIts not necessary to join if things are these hard n forcing from other attacking countries.we dont need yu kenyans n whoever to open our eyes wide open for our land,ID & working permit.
You r really very wrong folks.
Minister Kamala keep it stand firm or else!!
annon apo juu,,,
ReplyDeletejumuia yawezekana kabisa kujiunga nchi zingine kabisa ata nigeria ilmradi tu MOU(memorandum of understanding)katika issues,,,ata malawi,zambia waweza jiunga
umoja wa ulaya kuna nchi zimo umo na zingine wala hazijajiunga,NI JINA TU LA KUTAMBULISHA UKANDA FULANI
Mbona hii ishu ilishamalizika? Msimamo wa Tanzania si ulishaeleweka? Sasa ni kwa nini Kenya wanaurudisha nyuma tena huu mjadala?
ReplyDeleteKama alivyosema waziri Kamara,
MSIMAMO WA TANZANIA NI HUU:
1. Sheria za umiliki wa ardhi ziendelee kubaki kama zilivyo kwa kila nchi.
2. Hati za kusafiria ziendelee kutumika kutoka nchi moja hadi nyingine.
3. Hatupo tayari kufuga Wajaluo, Wakikuyu, Wanyarwanada na Warundi wasiokuwa na kazi za kueleweka Tanzania "at the expence of East Africa Community.
Hivyo wataruhusiwa tu wale wenye "KAZI ZINAZOELEWEKA".
SHEMEJI ZETU WAKENYA MMETUELEWAAAA?
Infact, wakati tunapigana vita vya ukombozi kusini mwa Africa, Kenya ilikuwa inwasaidia MAKABURU na IAN SMITH wa Rhodesia (Zimbabwe kwa sasa).
Ni kitendo cha kushangaza kuona Kenya wanaanzisha "UZALENDO" kwetu sasa.
Watanzania tumepata masomo yafuatayo panapokuja masuali ya muungano.
ReplyDelete1. Tumejifunza mengi pale marais wetu wa zanzibar na tanganyika walipofanya haraka haraka muungano wa tanzania. mengi hayakuzingatiwa na hadi hii leo kuna mvutano juu ya suali zima la muungano wetu. Hatuko tayari kufanya kosa lile lile tena.
2. Muungano wa afrika ya mashariki wa mwanzo ulituumiza mno ulipovunjika, na tuliona rangi za kweli (true colours) za majirani zetu
3. Muungano wa tanganyika na zanzibar umedumu kwa sababu ingawa tunaitana wabongo, machogo, abaa, yahee, na mengineyo lakini deep down hatuchukiani kiasi cha kufika kuuana kwa mapanga. majirani zetu ni tafauti wameuana na wanaweza kuuana wenyewe kwa wenyewe seuze jirani zao. tukiwaachia warundi, wakenya na warwanda wazurure mitaani bila kujulikana wafanyacho, ndugu watanzania watatumaliza soooote!!!!!!
Kwa huyu mdau wa saa 3:05pm,apr 17th:ni kwamba hapo kale enzi za utawala wa Wajerumani ni kwamba Tanganyika,Burundi na Rwanda zote zilikuwa nchi moja ya Deutsch Ostafrika!Kwa maana hiyo hata kijiografia nchi za Rwanda na Burundi zinategemea sana pwani ya bahari ya hindi kupitishia bidhaa na mahitaji yake kwenda na kutoka ng'ambo zaidi kuliko pwani ya bahari ya Atlantic.Vigezo hivyo viwili tu vinafanya nchi hizo mbili kuwa na sifa ya kuitwa ukanda wa afrika ya mashariki.Achilia mbali tamaduni,mila na desturi za watu wa nchi zote hizo tano kushabihiana zaidi na kuwafanya ni watu wenye asili moja na mwelekeo mmoja.Nafikiri kwa hayo machache mdau utatosheka.
ReplyDeleteKuhusu suala la ardhi ndugu zetu wa Kenya hilo walisahau kabisa,haiwezi kufanywa mali ya pamoja ya afrika ya mashariki.Mkenya atakayetaka kuishi na kulima Tanzania na aje,hakatazwi mtu hapa.LAKINI akija shurti afuate sheria,mila na taratibu za watu wa hapa na serikali yao.Ardhi ni kitu kisicho ongezeka (Land is a Fixed Quantity).Lakini Watu idadi yao inazidi kuongezeka kila siku na kila mwaka.Na hivyo kuifanya ardhi kuzidi kuwa ndogo zaidi siku hadi siku.Ardhi haitutoshi hata sisi wenyewe watanzania.Kwa maana hiyo haiwezi kuingizwa katika mkataba wa aina yeyote ile wa afrika ya mashariki.Tumeshindwa kuafikiana kuhusu SARAFU MOJA YA AFRIKA YA MASHARIKI,leo iweje tuzungumzie kuhalalisha ardhi yetu igawiwe hata kwa watu wa kuja kutoka nje ya nchi,itakuwaje?Hata na wao Wakenya nitawashauri wasiruhusu ardhi yao ipokonywe na Watanzania watakao penda kuishi na kulima Kenya.Hili kwa nia njema kabisa.Kenya ni ndugu zetu kamwe hatutawabagua,ni tahadhari tu ya maisha tusije tukapigwa mawe na wajukuu zetu pindi watakapo kosa ardhi kabisa muda wao ukiwadia!
ReplyDeleteKENYA NA UGANDA WANATOLEANA MACHO KUHUSU ARDHI YA KISIWA CHA MIGINGO ZIWA VICTOIA,WAKENYA WAMEKUJA JUU KUHUSU LAND YAO,CHA AJABU HABARI HII IMO KATIKA GAZETI LA STANDARD LA LEO,AWA KWELI MANYANG'AU,SERIKARI IKIJIPINDUA KUABADILI SHERIA ZETU ZA ARDHI BABA WATAIFA ATANUNA HUKO ALIKO NA WAFUASI WAKE TUTA KUSANYA NGUVU ATA KWA MTUTU KUIRUDISHA ONE DAY.
ReplyDeletewatukane wasitukane jibu ni hapa kwa ardhi yetu. Ni mtanzania gani atapata ardhi Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi? Jibu ni Hakuna. Hawana ardhi hao sasa wanataka kuivamia ardhi yetu. Tunasema HAPANA. Hii kwa maslahi ya taifa na watu wake. Hatukuwakataza wasiifanye ardhi kuwa mali ya taifa baada ya uhuru wao hao wakenya na matokeo yake akina Kenyatta na wenzake wanamilki ardhi kubwa kupindukia. Ni Makabaila tu. Wawagawie ardhi hiyo wananchi wao. Itawtosha wasituletee za kuleta hapa. Rwanda na Burundi matatizo ni yale yale. Rwanda sasa wanajiimarisha Kivu.
ReplyDeleteHatutaki watuletee matatizo yao.
unapokuwa na common market haina maana kuruhusu umilikwishaji wa ardhi kwa wakenya.
1.Hatimae Kamal kanena.Lakini alikuwa wapi kusema kama hivi siku zote? Hii mijitu ni ya kuigonga direct na ukweli bila aibu.
ReplyDelete2. Kenya wamefanya ufisadi na rdhi yao- wanaimliki wakubwa wachache (familia za Kenyatta na Moi, wazungu na wengineo wana mapande ya ardhi ukubwa wa wilaya na kusaza). Sasa kutokana na ufisadi huo wanakodolea macho ardhi yetu ili waendeleze ufisadi huo na kuwapooza wakenya waliokosa ardhi. Huu ni upuzi mtupu. Kwani wao watalipa au kufidia kwa ufisadi wa kwetu hapa kama wa EPA? If not kwa nini tulipie ufisadi wao.
2. Kenya na Rwanda zina historia za ukabila mkali na chanzo kimoja kikubwa kwa paigano nchini mwao ni ardhi kuhodhiwa kikabila. Hatutaki kukaribisha tabia hizo kwetu. Watatue tataizo matatizo hayo kwao wenyewe. Nyerere alipomilikisha ardhi dola mabayo ndiyo inatoa jhati mkwa vipindi maalum hakuwa mjinga- amani hii tulioyonayo ni tunda la land tenure system iliyobuniwa wakati wake.
3. Kenya and Rwanda should sort out their problems on land on their own. Acheni ufisadi, acheni ukabila.
Mdau wa chini ya mgomba,ikiongezwa burundi na rwnda itakuwa eastern africa,sio east tena.
ReplyDeleteMichuzi.....kwa niaba ya waTZ wenzangu wote duniani na wale walio nyumbani, tafadhali nakuomba umpe ujumbe huu waziri Kamala. Mimi kama mtanzania mwenye shahada ya uchumi, naishi hapa Kenya kwa miaka mitano sasa, na kabla ya hapa niliishi Uganda kwa miaka mitatu. Kote huku nilikuwa nafanya kazi kwa huzuni moyoni. Nasema hivi kwa sababu hawa wenzetu mpaka leo hii wanahisi ama kufikiri kuwa waTZ ni wajinga na wanatucheka sana kwa kusema kwamba sisi waTZ kila siku huwa tunawaiga wakenya na waganda katika kuleta maendeleo nchini kwetu. Wiki iliyopita tu hapa kazini, baadhi ya wenzangu wakenya walinicheka sana na kuniandama kisa eti tunakataa kuwapa ardi wao kwa sababu tunahofia kuwa nchi yetu itachukuliwa na wao kwa sababu sie hatuna akili ya maendeleo na tumebaki wajinga. Cha kushangaza, hapa kenya ukabila unatawala sana na huwezi kuona mjaluo anazungumza na mkamba, ama mluya anazungumza na mkikuyu, wapo wachache wanaofanya hivi lakini ni hadimu sana kuona kitu kama hiki hapa Kenya. Hajabu zaidi jamaa waliondoa tofauti zao ile siku na wakahamua kunishambulia mimi huku kila mmoja wao akizungumza lugha ya kwao na wenzie. Michuzi, kwa kifupi hawa jamaa hawatupendi na hawatutakii mema hata. Ni kweli hapa kenya hakuna ardhi kwa wananchi wake, ardhi ya hapa inamilikiwa na wageni na cha kusikitisha mgeni anaweza kuua raia wa hapa kama anapita katika ardhi yake bila idhini na ashitakiwi ama kufungwa. Sasa na hawa baada ya kuona hawana kitu hapa kwao wanataka waje kuishi TZ na kuwakandamiza waTZ kama wanavyokandamizwa wao hapa kwao. Kwa kweli lazima tuishikilie ardhi yetu. Rwanda hakuna ardhi, raia wengi wamenyang'anywa ardhi na wale walio na mifugo mingi wameambiwa wapunguze hiyo mifugo kwa sababu hakuna ardhi ya kutosha. Kwa nini tuwatunze watu/wageni wakati wana nchi zao? Si waende kubanana huko huko? Canada, Mexico, na Marekani wana umoja wa uchumi, na hakuna raia wa nchi moja anayeweza kwenda kuishi nchi ya mwenzake bila sababu maalum, kwa nini hawa (Kenya, na nduguze) wasikubali hivyo? Waziri Kamala, kaza buti hatutaki kugawana ardhi na wabaguzi kwani ni sisi WaTZ ndio tutakaoteseka nchini kwetu kama wanavyoteseka wakenya kwao.
ReplyDeleteTuwashushue, hamtutishi, hamtubabaishi, mtukome na mtutue na ardhi yetu!
ReplyDeleteInfact, viongozi wa Kenya wanachofanya sasa, ni kujaribu kama kuna uwezekano "to postpone the imminent potential land dispute in Kenya" yaani "kuchelewesha au kusogeza mbele ugomvi wa ardhi ambao unatarajiwa baadaye Kenya", kama ule wa Zimbabwe, kutokana na ukweli kwamba, Ardhi inamilikiwa na viongozi wachache wa Kenya, pamoja na wazungu wachache.
ReplyDeleteWAZIRI KAMALA, JK, KAZENI UZI, MSILEMAE
mdau wa April 17, 2009 3:36 PM kidogo umekosea ulipotowa mfano wa EU. EU ni european union, kwa hivyo ni nchi za zilizopo europe tu ndio zinazoweza kuomba na kukubalika kujiunga na umoja huo.
ReplyDeletemdau kauliza kwa niniburudi na ruwanda ambazo kujiografia sio kweli kama ziko eat africa.
na yule mdau alosema ni jina tu kwa nini basi jina hili lisiashirie sehemu zilizopo ruwanda na burundi kama ilivyo SADC
Waheshimiwa majirani zetu, semeni ukweli hapa, hivi kweli katika nchi zenu zipo ardhi za kuweza sisi kuja kumiliki? kama zipo ni kwa nini basi wananchi wenu wenyewe wako tele hawamiliki hata kipande cha kujenga kibanda?
ReplyDeletetanzania ardhi ipo na hatuwaachii mkaivamia ng'o
Tangu mwanzo wa dunia watu wamekuwa wakiuwana kwa ajili ardhi.
ReplyDeleteHata mashariki ya kati (ISRA-PALES)tatizo ni ardhi tuu.
Watu, hata kama wanaheshimika vipi, hupoteza utu na ubinadamu wao, na kugeuka wanyama au chinjachinja, uaua, kwa ajili ya ardhi.
Hii huonyesha ardhi siyo kitu kidogo. Na pia ardhi ndo iliyomzaa adam, mkewe na wanawe.
Ardhi itakuwa sababu yetu kuuliwa kwa hiyo kuzomewa ni bora kuliko kufa.
Tishikilie, na kama itabidi tuuliwe kwa ardhi hii basi wacha watuuwe, tutajibu mapigo tutavyoweza. Maana hata kiongozi wa zamani wa Uganda inasemekana alianzisha vita kwa ajili ya ardhi japo hamna ushahidi zaidi ya movie "rise and fall" ambayo wachambuzi wanasema ina "myths" kibao.
WAKENYA NA WADAU WAO NI WAHAFIDHINA TU.NA PIA HAWATUPENDI KABISA HATA CHEMBE SIE WABONGO.MHESHIMIWA JK NA TIMU YAKO KAZENI UZI ZAIDI.WAWAPE SHUA HAO WAHAFIDHINA ARDHI NI YETU SIE WANA WA NYERERE TU.
ReplyDeleteCCM JUU.
MDAU WA KIMANZICHANA
kazi ipo
ReplyDeleteNAJISIKIA FURAHA SANA KWA MSIMAMO HUU WA SERIKALI. MUNGU AWABARIKI MUKAZE UZI HUO HUO.
ReplyDeleteMh. mkuu wa wilaya ya nanihii tafadhali naomba umpigie debe huyu mdau wa April 17, 2009 6:12 PM kwa rais JK ili apewe cheo hapo home, kwani yote aliyozungumza ni ya kweli kabisa. Yaani mimi mwaka jana tu nilikwenda kenya kwenye biashara zangu, jamaa (polisi)wacha wanikomalie na kuniita eti mi MTZ kiswahili kingi nakwenda kenya kutafuta nini? Nilipowaeleza nakuja kufanya biashara wakaniambia kwani TZ hakuna bishara mpaka niende kenya. Hatutaki wakenya TZ, wao wamezoea kubaguliwa.
ReplyDeleteKENYA NA UGANDA WANA DISPUTE KUHUSU KISIWA KIMOJA KILICHOPO LAKE VICTORIA. KWA MAELEZO YA KINA, KONG'OLI HAPA http://allafrica.com/stories/200810210019.html
ReplyDeleteWELL DONE KAMALA AND PASSS ON MY REGARDS TO JK FOR THE THOUGHTFUL AND WELL BALANCED AND PATRIOTIC STANCE.THAT IS WHAT WE VOTED FOR
ReplyDeleteDuh,huyo anon wa tatu kuchangia pale(April 17,2009 11:54 am) ameongea maneno mpaka mwili umenisisimka.Ni maneno ya kizalendo na ni kweli tupu.
ReplyDeleteNaona wewe ni mzalendo wa kweli kabisa na unafahamu ushenzi wa hawa jamaa.
Ngoja niwaambie kitu jamani,miaka ile tukiwa kwenye muungano nilibahatika kufanya kazi railway.Hawa jamaa tulikua tunawaita "nyang'au",muulizeni mzee yeyote aliyewahi kufanya kazi EAC ya miaka ile atawaambia.
Jamaa ubinadamu walikua hawana kabisa na walikua wanapendeleana ile mbaya.
Ilipovunjika EAC hawa jamaa walifanya "cheers" ya mivinyo kwa sababu walikua wametupiga bao,resource zote ambazo tulichuma pamoja kama EAC zilibaki kwao,na ndo maana mpaka leo unona KENYA AIRWAYS na BANDARI YA MOMBASA zipo juu ni kutokana na UTAPELI HUU ambao waliufanya.
Rubani wetu mzalendo mmoja aitwaye "MAPUNDA" kwa uzalendo na uchungu wa nchi yetu TANZANIA akafanikiwa kukimbia na ndege,ndo walau na sisi tukawa na kandege kamoja(BOING 737).Najua wengi wenu hamfahamu haya.
Haya,kila mtu alipotakiwa kurudi kwao,wengi wa watanzania walirudi maiti toka KENYA,lakini wao walikwenda salama tu.
Haya,General tyre pale ARUSHA ilikua inazalisha tyre kwa raw materials toka ndani(nchini),hii ilikua inasaidia kufanya bei ya tyre kuwa nafuu.Wakenya walichofanya wakaja baada ya kuvunjika kwa EAC,wakakodisha yale mashamba ya mpira kule mburu,baada ya season moja kuisha wakaanza ku-poison ile mimea na ardhi husika.Haya niambieni,yapo wapi yale mashamba sasahivi,General tyre imekaa tu pale Arusha kama picha.Na hata kama ikizalisha,unakuta inashindwa kuhimili ushindani wa soko kwa sababu lazima raw materials itoke nje.Kwa hiyo tyre lazima iuzwe kwa gharama ya juu ili at least ku recover gharama,haiwezi ku-compete na tairi za china ambazo ni bei chee za zimezagaa kila kona.
Jamani mimi hawa jamaa sitaki hata kuwaona,nina mengi sana ya kuongea kuhusu hawa jamaa.Michuzi hebu u-refresh huu mjadala ili vijana wa miaa ile tuchangie kidogo.
Hawa jamaaa wameshaona hatuna muda mrefu kabla hatujawapiga bao kwa kila namna,ni kujipanga tu.Na sasa hivi watanzania wanaelewa kila kitu,utawaambia nini?Ndo maana wanakuja mbio.WAKE UP...WAKE UP TANZANIAN,HAO SI WATU HAO.
Mkulima-kijijini Gezaulole.