
Globu ya Jamii inawatakia wadau wote Wiki Takatifu njema
Most read Swahili blog on earth
Globu ya Jamii inawatakia wadau wote Wiki Takatifu njema
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du! Brother michuzi umenifurahisha kweli leo. Yaani Ijumaa kuu Nabii Issa anasulubiwa, na Jumapili ya Pasaka Yesu anafufuka. Sasa hao ni watu wawili tofauti ama la. Naamini huo ni ubunifu wako wa kutaka kumuunga mkono Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa hotuba yake aliyotoa siku ya Maulid (ambapo jamaa alimpinga kwa kumpiga kofi)kuwa Wakristu na Waislam wa Tanzania tushirikiane kwa kila jambo. Tofauti za kidini hazita lijenga bali kulibomoa taifa letu.
ReplyDeleteNakutakia Heri ya Juma Kuu wewe na wadau wako wote
Mdau
Cardiff
Kaka Michuzi naikumbuka sana ile picha aliyopiga mwandishi mmoja wa gazeti la Majira anaitwa Abdul Njaidi ilitoka kwenye gazeti la majira la tarehe 14 July 1999.Hakika kuna miujiza jamani pale st.Joseph yaliyotokea kwenye picha ile hata yeye alibaki mdomo wazi, picha aliyoipiga yeye mwenyewe alishangaa object nyingine iliyokua kulia kwake mbali kabisa ikitokea pia kwenye hiyo picha.
ReplyDeletePrepare urself for the Easter those who believe
Wadau samahani mimi nina swali hua najiuliza siku nyingi. Hivi jina haswa la huyu Bwana pengo ni lipi? Yaani namaanisha majina, bila cheo. Na ninaomba ufafanuzi kuhusu mpangilio wake, maana nashindwa kuelewa kabisa! Asanteni sana!
ReplyDeleteNabii yusuf radhi za mwenzi mungu zimshukie juu yake Amin
ReplyDeleteKaka michuzi hebu tuweke sawa wadau
ReplyDeletekatika sentensi yako hii(Ijumaa siku ambayo nabii Issa anasulubiwa na Jumapili ya pasaka siku Yesu anafufuka).kuna walakini katika sentesi yako hapa hunajaribu kuonyesha kwanba tukio la ijumaa na la jumapili ni vitu viwili tofauti. tafadhali fafanua, kuna mengi yamejificha katika hili.
anaitwa mwadhama polycap cardinal pengo
ReplyDeletemwadhama ni cheo
cadinal ni cheo
majina yake ni polycap pengo
Michuzi yaani we machale kweli umeshabadilisha? mbona umefuta nabii issa au unaogopa kupigwa kibao kama Mheshimiwa?
ReplyDeleteMdau
Kijitonyama
Michuzi hata usipo post hii hamna neno mi nakufagilia kwa ku edit kwamba aliyesulubiwa na aliyefufuka ni mtu huyo huyo mmoja, ilikuwa inakonfyuzi..
ReplyDeleteKoku
..Mitchu,ulikuwa ukijifagilia?..mwanangu ungezaliwa katika 'jografia nyingine' kama latin amerika ungekwitwa 'Jesus'..
ReplyDeleteMICHUZI NA WEWE PIA PASAKA NJEMA!
ReplyDeleteASANTE SANA MICHUZI KWA KUWA MTU WA WATU NA KUWAPENDA WATANZANIA WOTE BILA KUBAGUA.ASANTE NA TENA PASAKA NJEMA.
KILELE CHA PASAKA NI JUMAPILI.
ReplyDeleteMICHIZI BWANA!!
I DO NOT GET THE JOKE HERE, MARA ISSA MARA JUMATATU.
IKIZINGATIWA WEWE SI MKRISTU, NA HII MADA NI NGUMU KATIKA MCHANGAYIKO WA MADHEHEBU, MI NAONA UNATAFUTIA WATU SABABU YA KUSEMA.
Mdau wa April 06, 2009 3:10 PM nashukuru kwa kunijulisha. Sasa kama ni hivyo, kwa nini wanachanganya majina na vyeo? nina maana, kwa nini wanapangilia cheo+jina+cheo+jina? Kwa nini isiwe vyeo + majina? Kwa mfano huwezi kusema "Mheshimiwa Jakaya Mwenyekiti Kikwete", itakua haileti maana. Au kuna sababu maalum!
ReplyDeleteNi hayo tu!
Mheshimiwa aliyeshika mic ni classmate wetu tulipokuwa pale Visiga Seminary sasa ni Rev Fr Vincent Mpwaji ambaye ni Katibu wa Cardinal na Jimbo kuu la Dar es salaam. Keep it up mzee ,joe
ReplyDeleteMadu Cardiff kumbe na wewe unasumbuliwa na lugha kama mimi?
ReplyDeleteMkuu wa wilaya ya naniii, mimi ni mkristo lakini ukweli ni kuwa hizi sikuu ni sanaa tu za binadamu ukisoma biblia yote hakuna sehemu inasema jumapili ya pasaka. Pasaka yenyewe ilikuwa alhamis alipokula mkate na divai na kisha Yuda kumsaliti hiyo ndio ilikuwa pasaka lakini hii ya jumapili haimo kwenye biblia. huo ndio ukweli mkuu wa wilaya, usiibanie michuzi hii ni blog ya jamii mwenye hoja ya kusema hii pasaka ya jumapili iko kwenye biblia aweke
ReplyDeleteMdau unayeulizia cheo cha Kardinali, ni kwamba hicho ni cheo cha juu kabisa (chini ya Papa, ambaye ni kiongozi wa Makardinali wengine na Kanisa kwa ujumla). Pana anachaguliwa na Ma-kardinali miongoni mwao (Conclave). Kwa hiyo, unlike vyeo vingine ambavyo ukivipata unaweza kuviacha au kupanda juu zaidi (kama rais, m-kiti, waziri,Rev, n.k), u-Kardinali ni cheo cha kudumu na hicho huwa kinakuwa sehemu ya jina lako (kama Middle name hata kwenye passport).Hata wakistaafu (au kujiuzuru sababu ya umri mkubwa) bado wanabaki na hicho cheo hadi Mungu akiamua kuwachukua. Ndio maana anaitwa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (or H.E. Polycarp Cardinal Pengo).
ReplyDeleteKujibu swali:
ReplyDeleteJina lake ni Polycarp Pengo. Hayo ya Mhadhama na Kadinali ni vyeo tu. Na mpangilio unaotumika ni desturi tu. Kwa mfano Baba Mt wa Sasa (Benedict wa 16) jina lake halisi ni Joseph Retzinger. Hivyo kabla ya kuwa Papa aliitwa Mhadhama Joseph Kadino Retzinger. au marehemu Kadinol Rugambwa, jina lake ni Laurian Rugambwa na aliitwa Mhadhama Laurian Kadino Rugambwa.
Nyongeza: Pengo kwa asili ni mtu wa Mwazye- Sumbawanga - Rukwa, , amezaliwa, kukua na kusomea huko. Ni matunda ya Kaengesa seminari.Ni padri wa shirika la Mapadri weupe(Missionaries of africa aka White fathers) amewahi pia kuwa askofu wa iliyokuwa diocese ya Nachingwea
Nawakilisha
Kujibu swali:
ReplyDeleteJina lake ni Polycarp Pengo. Hayo ya Mhadhama na Kadinali ni vyeo tu. Na mpangilio unaotumika ni desturi tu. Kwa mfano Baba Mt wa Sasa (Benedict wa 16) jina lake halisi ni Joseph Retzinger. Hivyo kabla ya kuwa Papa aliitwa Mhadhama Joseph Kadino Retzinger. au marehemu Kadinol Rugambwa, jina lake ni Laurian Rugambwa na aliitwa Mhadhama Laurian Kadino Rugambwa.
Nyongeza: Pengo kwa asili ni mtu wa Mwazye- Sumbawanga - Rukwa, , amezaliwa, kukua na kusomea huko. Ni matunda ya Kaengesa seminari.Ni padri wa shirika la Mapadri weupe(Missionaries of africa aka White fathers) amewahi pia kuwa askofu wa iliyokuwa diocese ya Nachingwea
Nawakilisha