Home
Unlabelled
wiki ya mazingira kwa askari polisi safi yazinduliwa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwenzenu nilitokwa hamu ya kula bata tangu utotoni kisa ni wale bata wachafu pale line police Moshi, na hadi leo nikitaka kusema nyumba chafu huilinganisha na za polisi. Labda hii itakuwa changamoto kwa watu waishio nyumba za mashirika au serikali kuwa wasafi. utakuta mkurugenzi mzima msomi, mke safi lakini nenda nyumba aliyopangishiwa, pumba za kuku barazani. ustaarabu wa mtu ni usafi na sio mali wala akili.
ReplyDeleteKawaida sisi tunajua Askari Polisi katka mafunzo yao wanafundishwa tu usafi wa mavazi na viatu na siyo mazingira, maana sehemu nyingi wazoishi utaona ni chafu sana, lakini ngua na buti safi. tofauti na askari jeshi wasafi wa mavazi na pia mazingira yao ya kusihi. Labda mapipa haya yatasidfis kubadili mtizamo wao au jambo hili linatakiwa kufanyika huko Moshi kwenye chuo chao na hapo Kuarasini!
ReplyDeleteunakumbuka mheshimiwa michuzi tulijadili kwenye hii blog ya jamii kuhusu uchafu wa polisi kwenye nyumba zao wanazoishi. sasa huu usafi usiishie kwenye ofisi zao tu bali wafanye usafi kwenye nyumba zao pia. michuzi naona hawa jamaa wanasoma blog yako.
ReplyDeleteWIZI MTUPU
ReplyDeleteWIZI MTUPU
ReplyDelete