Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. The opposite is always true.Ha ha ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  2. Nimecheka sana! katuni nzuri sana ujumbe umefika jamani amkeni asubuhi mkimbie angakau km 1 kwa siku.

    ReplyDelete
  3. pahaaahhahahhaahahaha..4 real...lol..

    ReplyDelete
  4. Hahahahahaha that is so funny.Good thinking whoever posted that cartoon.

    ReplyDelete
  5. Hahahahahaha True datin so many levels.

    ReplyDelete
  6. lakini jamani siye tulikua na tv mika ya 70 aaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Matani mengine ya kikwelikweli, yanagusa wengine....Naomba muniache

    ReplyDelete
  8. Jamani ndio nini hivyo uchokozi? Kwani ulishawahi kuniona zamani? Ahh mi staki

    ReplyDelete
  9. Yah mkuu wa wilaya ya nanihii yaaani nimekupata kisawasawa na kwa ujumla wake ni kuwa uamuzi wa kuleta hii katuni ni kwamba wewe binafsi ulihitaji hadhara hii kupata ujumbe fulani. Naam bila haya ni kweli ujumbe umefika ila mie binafsi natamani kuandika analytical views juu ya hii katuni ila tu nahisi wana jamii wenzangu watakuwa hawana muda wa kusoma kwani kila mtu yuko busy na kujiokoa katika kipindi hiki kigumu cha mgogoro wa kifedha duniani. Maelezo mafupi ninayoweza kutoa hapa ni mlinganyo kinyume wa ujumbe uliopo katika cartoon...wakati mwanadamu alipokuwa dhaifu alitumia bidhaa zilizokuwa nzito sana ila udhaifu ule wa mwili ulitokana na kufikiria sana ili aweze kukabiliana vizuri na mazingira yake...hivyo basi wazee hao waliofikilia kwa niaba yetu leo hii hawapo tena duniani ila walituachia ujuzi mbalimbali kwa nazalia na vitendo hivyo maisha yetu yamekuwa tena sio ya kufikilia kama zamani tumebaki ku-invent slim products na kutulemaza kimawazo na hata kivitendo tumebweteka kupita kiasi tukajiachia kwa uzembe na kulaza bongo zetu kwa kuwa kila kitu kilishaandaliwa na wazee wa sayansi nikimaanisha wavumbuzi matokeo yake ndo hayo ya picha ya pili hiyo ndo laana tuliyobaki nayo.

    Changarawe

    ReplyDelete
  10. kazi ipo...
    tujipende wandugu,nyama uzembe sio sifa/pesa

    ReplyDelete
  11. wewe mesema kweli mutu wangu, zamani mtu ulikuwa unafanya kazi sana tu ili upate tv lakini siku hizi tv ndo zinafanya watu wawe wazembe.

    ReplyDelete
  12. he he he he hee.. ha ha ha haaaaa, nimecheka saaana, ujumbe kweli umefika, safi saana. Technologia inatumika ku-simplify maisha sio, and at the same time, inaendekeza uvivu. Maana huyo binadamu wa sasa alivyo kibonge hivyo (and unfit) angeibeba hiyo TV kweli kama bado nayo ingekuwa nene, he he he heeee

    ReplyDelete
  13. Ubongo hapo Nyerere alitunyima TV katika enzi zake...ati anasa hii ingeharibu mila zetu!!!na sasa kila nyumba hufurahia hata ngono na zinaa za kizungu...nisaidie Mola!

    ReplyDelete
  14. Kufanya story ndefu iwe fupi tafsiri yangu ya picha hii ni: Teknolojia (ukitia ndani maendeleo ya viwanda na mifumo ya upashanaji habari)vimemwondolea mwanadamu nafasi ya matumizi ya mwili wake mzima na badala yake amebaki kutumia kichwa tu, mengine ni ziada! Mwili ni umebaki kama chombo cha kukisafirisha kichwa pale inapobidi. teh teh; unadhani kwa mtaji huo kwa nini mwili usivimbe?!! Unashughuli gani!?

    ReplyDelete
  15. NIMEFURAHI NA UBUNIFU WA KUCHEKESHA UMMA.
    PIA watoa maoni wenzangu hapo juu mnajitahidi kuchambua ujembe hongereni!
    ila kunakitu kidogo sasa cha kitaalam nami niwaongezee ktk analysis zenu.
    -nikweli kutokujishughulisha kimwili[hypodynamia]kwa asilimia kubwa kunachangia ktk jurundika mafuta mwilini [obesity],lakini kuna sababu nyingine zisizo husiana na uzembe mwili zinaweza kumfanya mtu kunenepe sana hata kama anafanya kazi za nguvu kilasiku.
    nisingependa kuchukuwa mudawenu kusema yote hapa,ila kama kuna mwenye tatizo la namna hiyo anapaswa kumuona daktari kwa maelekezo na msaada wa nini cha kufanya kwa lile linalowezekana kutatulika.

    ***XXX***

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...