WADAU WA RED CROSS WAKIWA TAYARI KUTOA HUDUMA YA KWANZA

KAMISAA (KATI) WAAMUZI NA MANAHODHA WA SIMBA NA YANGA
BENCHI LA SIMBA
BENCHI LA YANGA

YANGA IMESAWAZISHA DAKIKA YA  89 BAADA YA  JERRY TEGETE  KUTULIZA KIFUANI PANDE TOKA KWA BARASA NA KUPIGA BAO. HIVYO  SASA BAO NI YANGA 2 NA SIMBA 2

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. nini bwana Simba wanashindwa kuzuia aghhhhhhhhhhhhhhhhhh Michuzi kashapata usemi. Pazi

    ReplyDelete
  2. huyo jamaa wa red cross kulia ni mmoja tu, michuzi picha umeichezea umemfanya waonekane kama ni wengi hapo walipoketi

    ReplyDelete
  3. Viti vya ofisini michezoni??? Hii sijawahi kuiona,labda mlioona naomba mnielemishe kama ni sahihi.

    ReplyDelete
  4. sijawahi kuona suit ugly kama ya huyo sijui ni askofu au nani vile hapo juu. ushauri:unapoenda kuonekana kwenye national tv. atleast unavaa kwa ku-impress ni bora angevaa yalee mafulana ya (polo) ya michuzi....

    ReplyDelete
  5. huyo kaka wa Yanga aliyeweka nne sijapenda body language yake!!!

    ReplyDelete
  6. kwanza nivunje mbavu;hahahaaaa tih tih tih uwiiiiiii jamani?
    1.suti ya uyo mtumishi wa Mwenyezi na shati lake la bluu
    2.ata mie nimeshtuka ilo pozi la mchezaji wa yanga aliekunja nne,nini sasa??????
    3.annon hujakosea labda TUELEWESHWE viti vya ofisini kulikoni?yan wanja jipya la neshno no viti wakae red-cross???viti vya ofisini???????????tena ata pembeni ya vibanda vipo mvua ikinyesha mwavikimbiza ndani au vina spesho cover-water resistance???
    4.jamani mvua ikianguka apo ivo vibanda vya wachezaji yaweje?na vina tintedi kuzuia jua letu la bongo??afu hakuna ata vistuli waweke ayo maji?pipa la taka je??

    yalabi NEW NESHNO LETU khaaaa!!!!

    ReplyDelete
  7. KAMISAA NDO ANAVAA KAMA PADRE AU??
    kazi yake asa nini??maombi,kusimamia mchezo au

    ReplyDelete
  8. naungana na mdau wahapo juu huyo kaka aliye kunja nne hata mimi sijapenda mkao wake,kama shoga vile.

    ReplyDelete
  9. mzowea punda hapandi farasi viti vya ofisini kwenye tatan?hahaha

    ReplyDelete
  10. Simba hawana hata makula ya kuwekea maji? barafu hakuna pia? getoredi?/pawaredi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...