Home
Unlabelled
YANGA YASAWAZISHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nini bwana Simba wanashindwa kuzuia aghhhhhhhhhhhhhhhhhh Michuzi kashapata usemi. Pazi
ReplyDeletehuyo jamaa wa red cross kulia ni mmoja tu, michuzi picha umeichezea umemfanya waonekane kama ni wengi hapo walipoketi
ReplyDeleteViti vya ofisini michezoni??? Hii sijawahi kuiona,labda mlioona naomba mnielemishe kama ni sahihi.
ReplyDeletesijawahi kuona suit ugly kama ya huyo sijui ni askofu au nani vile hapo juu. ushauri:unapoenda kuonekana kwenye national tv. atleast unavaa kwa ku-impress ni bora angevaa yalee mafulana ya (polo) ya michuzi....
ReplyDeletehuyo kaka wa Yanga aliyeweka nne sijapenda body language yake!!!
ReplyDeletekwanza nivunje mbavu;hahahaaaa tih tih tih uwiiiiiii jamani?
ReplyDelete1.suti ya uyo mtumishi wa Mwenyezi na shati lake la bluu
2.ata mie nimeshtuka ilo pozi la mchezaji wa yanga aliekunja nne,nini sasa??????
3.annon hujakosea labda TUELEWESHWE viti vya ofisini kulikoni?yan wanja jipya la neshno no viti wakae red-cross???viti vya ofisini???????????tena ata pembeni ya vibanda vipo mvua ikinyesha mwavikimbiza ndani au vina spesho cover-water resistance???
4.jamani mvua ikianguka apo ivo vibanda vya wachezaji yaweje?na vina tintedi kuzuia jua letu la bongo??afu hakuna ata vistuli waweke ayo maji?pipa la taka je??
yalabi NEW NESHNO LETU khaaaa!!!!
KAMISAA NDO ANAVAA KAMA PADRE AU??
ReplyDeletekazi yake asa nini??maombi,kusimamia mchezo au
naungana na mdau wahapo juu huyo kaka aliye kunja nne hata mimi sijapenda mkao wake,kama shoga vile.
ReplyDeletemzowea punda hapandi farasi viti vya ofisini kwenye tatan?hahaha
ReplyDeleteSimba hawana hata makula ya kuwekea maji? barafu hakuna pia? getoredi?/pawaredi?
ReplyDelete