mdau albert na mai waifu wake  cecilia wakiwa na wapambe wao siku walipomeremeta. mnuso ulikuwa  5 star hall  mitaa ya mbezi beach.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2009

    Albert yupi??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2009

    albert christian

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2009

    Tunaomba full majina yao, wanafanyakazi wapi nk. ndo raha ya habari. Hongerani sana na mmependeza

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2009

    wala hamkupendeza

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2009

    Bila shaka ni Cecy Masanja, hongera sana!Kila la heri katika maisha!Nic

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2009

    mkipata mtoto mfanye mpango wa kupima DNA to confirm the biological father as the biological mother is guaranteed.ukizembea watoto watakuwa na akili za mateja.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2009

    ah bado nipo nipo sana, wa kuoa ntakuwa mimi bwana? aliyemmega bibi harusi siku moja kabla harusi na wala siye bwana harusi. Nyie oeni mi niacheni...

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2009

    watu wengine WANA UCHUNGU NA HASIRA NA MAISHA YAO, WANAKUJA KUMALIZIA HAPA KWA BLOG YA JAMII, ACHENI ROHO MBAYA, WAMEPENDEZA NA HAWAHITAJI DNA WANAAMINIANA NA KUPENDANA. haters.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2009

    Jamani mi hii PHOTO SHOP siipendi maana hebu angalia huyo Bi. Harusi walivyomharibu shavuni mpaka anaonekana kama kavimba. Mi napenda sana picha halisi sio zilizochezewa Photo Point ama studio nyingine yeyote!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2009

    Bado John Mashaka,John Dotto Ngongoseke,pamoja na mjuaji mwenzao John Rupia,hawa ndiwo wadau wa U.S.A.Wanajifanya magwiji bila taarifa kazi kuchezea watoto wa watu tu bila sababu tuonane nao Ahera sababu huyu John Rupia hujidai sana kuwa watoto wa wenzie wametoa mimba mimba ngapi Stella katoa hata Suzy mimba ngapi ametoa nyani haoni kundule tumeksaidi kama wazalendo kukuchangia nauli kwenye msiba wa mama yako kipenzi leo unaenda unanitangaza kwa watu nimetoa mimba,, sina makaratasi,subiri yakwako yatakushinda na utakiona cha mtemakuni usipende kujionyesha una kila kitu wazazi wako wameiibia serikali ukoo wenu mmelaaniwa vya kutosha

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 13, 2009

    jamani japo sikuwepo, lakini rupia na hii harusi vinaclick vipi?au ndio mdhamini, pole kweli umetoa donge nadhani utapumua. nikushauri tu mdogo wangu watu hawanyimwi kusengenya cha muhimu kama jambo hujalifanya wewe peta mbele kwa mbele.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2009

    cecy umependeza mamie...hongera

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2009

    wamepemdeza jamani,cecy yupo zantel...hongera sana umependeza muno

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 14, 2009

    Hongereni mabibi harusi kwa sana

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2009

    Eeh Cecy Masanja nakukumbuka sana tulikuwa wote sea cliff umebadilika sana umekuwa mwembamba ila umependeza. Hongera sana kwa kuolewa na handsome na mmependeza. vipi Jb anajua umeolewa ha ha ha.... Maisha mema yenye baraka take care

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...