Home
Unlabelled
albert na cecilia wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Albert yupi??
ReplyDeletealbert christian
ReplyDeleteTunaomba full majina yao, wanafanyakazi wapi nk. ndo raha ya habari. Hongerani sana na mmependeza
ReplyDeletewala hamkupendeza
ReplyDeleteBila shaka ni Cecy Masanja, hongera sana!Kila la heri katika maisha!Nic
ReplyDeletemkipata mtoto mfanye mpango wa kupima DNA to confirm the biological father as the biological mother is guaranteed.ukizembea watoto watakuwa na akili za mateja.
ReplyDeleteah bado nipo nipo sana, wa kuoa ntakuwa mimi bwana? aliyemmega bibi harusi siku moja kabla harusi na wala siye bwana harusi. Nyie oeni mi niacheni...
ReplyDeletewatu wengine WANA UCHUNGU NA HASIRA NA MAISHA YAO, WANAKUJA KUMALIZIA HAPA KWA BLOG YA JAMII, ACHENI ROHO MBAYA, WAMEPENDEZA NA HAWAHITAJI DNA WANAAMINIANA NA KUPENDANA. haters.
ReplyDeleteJamani mi hii PHOTO SHOP siipendi maana hebu angalia huyo Bi. Harusi walivyomharibu shavuni mpaka anaonekana kama kavimba. Mi napenda sana picha halisi sio zilizochezewa Photo Point ama studio nyingine yeyote!
ReplyDeleteBado John Mashaka,John Dotto Ngongoseke,pamoja na mjuaji mwenzao John Rupia,hawa ndiwo wadau wa U.S.A.Wanajifanya magwiji bila taarifa kazi kuchezea watoto wa watu tu bila sababu tuonane nao Ahera sababu huyu John Rupia hujidai sana kuwa watoto wa wenzie wametoa mimba mimba ngapi Stella katoa hata Suzy mimba ngapi ametoa nyani haoni kundule tumeksaidi kama wazalendo kukuchangia nauli kwenye msiba wa mama yako kipenzi leo unaenda unanitangaza kwa watu nimetoa mimba,, sina makaratasi,subiri yakwako yatakushinda na utakiona cha mtemakuni usipende kujionyesha una kila kitu wazazi wako wameiibia serikali ukoo wenu mmelaaniwa vya kutosha
ReplyDeletejamani japo sikuwepo, lakini rupia na hii harusi vinaclick vipi?au ndio mdhamini, pole kweli umetoa donge nadhani utapumua. nikushauri tu mdogo wangu watu hawanyimwi kusengenya cha muhimu kama jambo hujalifanya wewe peta mbele kwa mbele.
ReplyDeletececy umependeza mamie...hongera
ReplyDeletewamepemdeza jamani,cecy yupo zantel...hongera sana umependeza muno
ReplyDeleteHongereni mabibi harusi kwa sana
ReplyDeleteEeh Cecy Masanja nakukumbuka sana tulikuwa wote sea cliff umebadilika sana umekuwa mwembamba ila umependeza. Hongera sana kwa kuolewa na handsome na mmependeza. vipi Jb anajua umeolewa ha ha ha.... Maisha mema yenye baraka take care
ReplyDelete