mojawapo ya matanagzo ya upotoshaji kwenye majarida ya utalii nje. kama hio haitoshi, katika matangazo ya kuelekea kombe la dunia (angalia fainali ya UEFA katia ya Barca na Man U, wakati wa haftaimu utalona tangazo hilo) huko sauzi mwezi ujao kuna moja limeelezea baadhi ya vivutio vikuu afrika mashariki ambavyo ni maasai mara na mlima kilimanjaro ambavyo watani wetu wanatangaza hadi hii leo kwamba vyote viko kwao. wahusika mpo???
vile vile kuna mmbongo sauzi anaomba mikakati iwekwe kuitangaza nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. Mdau, soharMay 18, 2009

    Hawa jamaa mbona hivo lakini? ndo maana museveni anawachimba biti! ila serikali yetu nayo ovyo sana, waziri anafanya kazi gani, kila ukifungua website za tourism za kenya, kilimanjaro ndo kivutio chao kikubwa, wizi mtupu!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2009

    wakenya mmezidi tangazeni vya kwenu,,,u guys like taking advantage of people na mnadhani ur so smart kuliko watanzania,,,so sorry u are not,,,majambazi tu mnakuja kwetu kutuibia....kila kwenye tukio la ujambazi hapa kwetu lazima wakenya wapo...si mkaibe kwenu jamani?tumewachoka na hatuwataki tena.
    mnaposaidiwa jifunzeni kua na adabu nyumbani kwa watu la sivyo mrudi kwenu mkafe na njaa.
    this is a blessed land and u have to respect it you thieves,,,,in terms of tourists attractions,u dont have even robo ya vivutio tulivyo navyo ila hata nyie mungu hakuwasau pamoja na ukabila wenu.mmepewa vi mlima kama vile mt.Kenya nk...tafadhali tunawaomba kwa heshima na taadhima tangazeni vivutio vyenu achaneni na vya tanzania haviwahusu na havitawahi kua vyenu hata mkienda kutambikia mizimu yenu yote.
    sasa angalia viongozi wenu walivyo wajinga wapo busy wanagombania 1 acre isand wakati wakenya milioni kumi wanakufa na njaa,,,,kweli sio upuuzi huo????its time to wake up kenyans,,,what is yours is yours and what is not yours will never ever be yours even in your wildest dreams.
    wake up idiots
    alafu tumechoka illegal immigrants kutoka kenya jamani eh???sisi sio red cross,,,angalia mlivyoanza kujaa bongo baada ya kusikia tu kuna oportunity?kwani hamna kwenu?au tuanze kupiga simu immigration kuwalipua???wengine mshaanza kutafuta na passport za tanzania,,hivi mmnajua madhara yake lakini???mtaishia segerea nyama nyie,,,rudini kwenu mkajenge taifa lenu we dont want you in our country,,,unless kama mnaishi kihalali jamani we have eneugh problems of our own,ondokeni kwa amani.

    ReplyDelete
  3. Please wadau naomba tushirikiane kwenye hili suala kwa maslahi yetu hususani sisi walalahoi.Huu ni upumbavu ambao sitaki kuuvumilia na nipo tayari kulipeleka hili suala East African Court.Ninachohitaji ni namna nitakavyopata hich kitabu. E-mail yangu ni carlkinisi2007@yahoo.com.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2009

    nyie watu acheni malalamiko kumbukeni kwamba you can see Mt Kilimanjaro from Kenya and you can see and climb Mt Kilimanjaro from Tanzania hiyo article haijasema kwamba eti Mt Kilimanjaro uko Kenya acheni kelele hiyo ni marketing strategy afterall wanawasaidia kuutangaza pia inaonyesha hiko kitabu kilikuwa kwa ajili ya Tanzania kwa vile Kenya ukubwa wake hauwezi kufikia Texas so there must be a typing error!
    Kinachotakiwa ni aggressive marketing of Mt Kilimanjaro na slogans kama 'Tanzania the land of Kilimanjaro' au 'come to Tanzania to see and climb Mt Kilimanjaro'

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2009

    oya hiyo taswira niliipiga mimi nikamtumia michu last year yes ni kitabu nilikikuta kwenye library ya watoto hapa uk, na ni kinaelezea juu ya kenya siyo east african no kimeandikwa kenya front page. big up michu kumbe huwa unahifadhi taswira zote tukutumiazo? clever man big u up for that

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 18, 2009

    KWANI SERIKALI IKO WAPI HATA WANASHINDWA KUONGEA NA KENYA WAWACHE MCHEZO WAO MCHAFU, MSITIE KICHEFUCHEU NA HUO MLIMA BWANA,MLIMA MLIMA,KILA SIKU YAANI STORY HAIISHI YA MLIMA, KAMA BONGO HATUUTUMII BASI WAACHENI WENZETU WAPATE HELA KIDOGO ZA KUSAIDIA JAMAA ZAO,KAMA KENYA HAWAFNYI HIVYO BASI LILE LIMA LITAUWA LIMEKAA TU BILA KUTUMIKA,WACHENI HIZO BWANA,WACHA LILE LILIMA LITUMIKE HATA PANDE ZOTE MBILI KUINGIZA HELA,

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2009

    kazi ipo na board yetu ya utalii
    wizara husika nk nk

    ofkoz ukiwa kenya apo unauona mlima sema ndo ivo mipicha ya wizi iyo

    na sie tumetangazaje uo mlima???
    1.vitabu,vijarida
    2.documentaries
    3.aggresive personnel husika
    4.matangazo media nk

    yani east afrika federation sahauni kabisa

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 18, 2009

    kama kawa....!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 18, 2009

    wizara ya mali asili jamani mko wapi? mbona mnalala sana .......niliwahi kuona tangazo la mt. kilimanjaro na vivutio vingine mara mbili tu cnn

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 18, 2009

    hahahahaa teh teh
    kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 18, 2009

    malaysia nimeona matangazo ya kenya ya vivutio ikiwamo mt kilimanjaro lkn hakuna neno tz kwenye matangazo hayo na tuna balozi hapa.
    wakulaumiwa ni nani? je ingekuwa tumejitangaza kenya wangethubutu kutangaza mt kili ipo kenya? sioni sababu ya kumind upuuzi hapo kama tumeshindwa acha wanaoweza watumie...
    kukuta matangazo ya utalii kenya kwenye full special page ya magazeti ya the sun nikawaida sana...

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 18, 2009

    wakenya wanakula kwa macho tu,huupandi mlima kama hujakanyaga ardhi ya tz finito............!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 18, 2009

    Masai Mara iko upande wa Kenya ukivuka mpaka inakua Serengeti. Sasa wale nyumbu hutoka Serengeti kwenda Mara

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 18, 2009

    watanzania tuachane kulalamika kazi yetu kupiga domotu vitendo hakuna.Kwanini msijitangaze ilikuonyesha hivyo vitio havipo kenya na vipo Tanzania
    tuacheni maneno kila mahali unapokuwe jaribu kutangaza nchi yako sisi hatufanyi hivyo ndiomana wakenya wanatusaidia tutaubiwa hadi wake zetu na waume zetu tusipo kuwa makini.Tuamke Watanzania tuache longolongo na kulalamika

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 18, 2009

    Ila pia Wakenya acheni WiziTangazeni vyenu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 18, 2009

    kwenye kampeni zao utasikia "barabara zimejengwa na CCM hata wapinzani wanapita, shule zote zimejengwa na CCM hata watoto wa wapinzani wanasoma... 2010 watakuja na hii "Mlima Kilimanjaro umejengwa na SISIEMU hata WAKENYA wanautumia... tupeni kura wananchi"

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 18, 2009

    calm down guys! tusiende mosmos -jazba haitakiwi apa. chakufanya sisi wabongo check how far we can bit Kenyans in terms of advertising our oun stuff. So lets take this as a starting point/challenge thereafter, we do our thing then the tourists definately watacha ku kulupuka na kufanya research zaidi kama both Tanzania and kenya zita claim zina Mt kilimanjaro! Labda kama wakenya wantech ya ku clon milima! tehteh wizi mtupu!
    mulox

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 18, 2009

    This past week Makamu wa Raisi Kenya Kalonzo Musyoka amesema wazi kwenye hafla na Makamu wa Rais Tanzania Shein kuwa Kenya wanitangaza nchi kwa kusema "Njooni Kenya na upande Mlima Kilimanjaro na hakuna sehemu tunayosema Mlima upo Kenya" Hii ilikuwa live.....which kinda makes sense if you look at it closely.

    BTW, Masai Mara is not in Tanzania! Ni "extension" ya Serengeti but on the Kenyan side. Mara remains a region in Tanzania. It is also said you can enjoy beautiful views of Kilimanjaro from Amboseli National Park. Lakini vilevile you can get excellent views of the same mountain from the Tanzanian side!!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 18, 2009

    SERIKALI IMELALA NA WABUNGE WETU WANAOTUWAKILISHA NDIO KABISAAAAA.WATU HAWAJALI MASLAHI YA NCHI KWA VILE FAMILIA ZAO ZINA HELA YA KUTOSHA.MDA UMEFIKIA SASA WATANZANIA KUANDAMANA BUNGENI NA KUWAAMBIA WABUNGE MASWALA KAMA HAYA.NCHI ZOTE WANAFANYA KWANINI SISI TUSHINDWE? NAWAPA HONGERA WAKENYA KWA KUHUSTLE KUSHINDA SISI.
    MTU HAWAEZI KULALA NA MKEO KILA SIKU ALAFU WEWE UNALALAMIKA TU BILA KUCHUKUA HATUA YOYOTE.
    mdau mzawa

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 18, 2009

    Watanzania tumelala wakutuamusha nani? Sisi tunachojua ni `mineno mingi' kwa mdomo aah, tunashika namba ya kwanza, lakini sio kwa ajili ya maendeleo yetu, kama imefikia hatua tunakisaga Kiswahili chetu wenyewe, nahisi siku Kenya wakisema sisi ndio Waswahili asilia tutaanza kuwalaumu, kwanini eeeh, kwanini eeeh,...

    ReplyDelete
  21. Wabongo sometimes mnachemka kwa vitu vidogo.Hapa kenya wanachofanya ni sawa na Marekani wanachofanya kutumia Niagara Falls.Hii ni Geographical Advantage wanayotumia hakuna kosa lolote.Kama wengine walivyosema hapo juu Tanzania inatakiwa ku up her Game in market ads sio kukaa na kulalama.Tanzania ikijiuza duniani kwa kiasi kikubwa na kusema MT.Kilimanjaro inavutia na kupandika(climbed) vizuri kwa upande wa Tz Wakenya hawatakuwa na cha kufanya.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 18, 2009

    si afadhali kenya wanautangaza mlima kilimanjaro je TZ inutangaza huo mlima....
    hela za matangazo wanaweka kwenye basi moja london alafu wanapiga picha hilo basi na wao wenyewe wakiwa wamesimama pembeni ya hilo basi

    asante sana wa kenya kwa kutangaza mlima
    sio wizara tu ata mabalozi ndio wamelala kabisa wa UK akiwa namba moja

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 18, 2009

    Cha msingi hapo ni kufunga njia zote za kupandia mlima kilimanjaro kupitia njia za kenya ili watalii wapitie 1 kwa 1 tanzania

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 18, 2009

    Kenya pamoja na kujitangaza na mlima kilimanjaro, ulimwengu wanawaona kama, wachokozi. Kwa kuwa kwa sasa ulimwenguni kote wanajua kama mlima kilimanjaro upo Tanzania.na kwenye historia zote wanaelezea kilimanjaro ipo Tanzania, sasa hao wakenya lbda wanawapata. wauropean wasioelewa kitu,Wakenya waache kujitangaza na vitu visinyo vyao, sio sasa, inakua kama wanatafuta uchokozi tu,

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 18, 2009

    KAMA KILA MMOJA AMESHPALIA KUJICHOTEA KILICHO CHAKE (UFISADI), UNADHANI NANI ANA MUDA WA KUTANGAZA RASLIMALI ZA NCHI. WAHUSIKA WANACHOPATA KINAWATOSHA, SASA WAHANGAIKIE NINI.

    ZAMANI NILIKUWA NIKIONA UCHUNGU KENYA KUUTANGAZA KWA NGUVU ZOTE MLIMA KILIMANJARO NA KUJIPATIA WATALII WENGI, LAKINI SASA WALA SINA ULE UCHUNGU TENA.

    KWA NINI NIPIGIE KELELE MLIMA AMBAO NI KWELI UNAONEKANA UKIWA KENYA, WALA HAKUNA UBISHI HAPO. SASA KAMA WASHIKA USUKANI WAMELALA, HAWATANGAZI, AU WANAVUNGA TU KUZIMA WATU KELELE.
    SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA SISI TULIO-PEMBENI KUPIGA KELELE.

    NIMEKAA NJE SIKU NYINGI, NI AJABU KWAMBA SEHEMU NYINGI HATA TANZANIA HAWAIJUI WANAJUA MLIMA KILIMANJARO (NA HII NI KWA SABABU JIRANI ZETU WAMEUTANGAZA SANA).

    SISI HUTUMIA NAFASI HIYO ANGALAU KUWAWEKA SAWA KWAMBA "KAMA UNAJUA MLIMA KILIMANJARO, UNASHINDWAJE KUIJUA TANZANIA, KWA SABABU HUU MLIMA UPO NDANI YA TANZANIA ..."

    ANYWAY, NILIAHIDI SITOPIGA KELELE LAKINI NAJIKUTA KAMA VILE NAFANYA YALEYALE.

    KWA UJUMLA NI KWAMBA MAMBO MENGI YANAHARIBIKA HAPO NYUMBANI, DHULUMA, RUSHWA, WAGENI KUJICHOTEA WATAKACHO. SIONI KAMA KUNA HAJA YA KUONDOA FOCUS YETU KWENYE MAMBO KAMA HAYA NA KUSHUPALIA MLIMA KUPIGWA PICHA. HATA WAKIUPIGA PICHA MARA BILIONI, BADO UTAKUWEPO TU.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 18, 2009

    http://www.africatravelresource.com/T1/africa/tanzania/ne/kili/0/intro/?gclid=CMOp-9u_xpoCFYZM5QodD0PHsg


    website hapo juu ni ya tourism in africa inaonyesha kwamba Mt. Kilimanjaro geographically upo Tanzania no matter kwamba ukiwa Kenya unauona. Mbona ukiwa Tangier,Morocco unaiona Spain lakini hausemi upo Spain?
    Hii kitu inahitaji kushughulikiwa na Serikali pamoja na Wizara ya Utalii as well as kufikishwa katika mahakama ya East Africa.
    Hii ni mind and economic corruption going on here..

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 18, 2009

    http://www.africatravelresource.com/T1/africa/tanzania/ne/kili/0/intro/?gclid=CMOp-9u_xpoCFYZM5QodD0PHsg


    website hapo juu ni ya tourism in africa inaonyesha kwamba Mt. Kilimanjaro geographically upo Tanzania no matter kwamba ukiwa Kenya unauona. Mbona ukiwa Tangier,Morocco unaiona Spain lakini hausemi upo Spain?
    Hii kitu inahitaji kushughulikiwa na Serikali pamoja na Wizara ya Utalii as well as kufikishwa katika mahakama ya East Africa.
    Hii ni mind and economic corruption going on here..

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 18, 2009

    Wakenya walie tuu, ni juzi tu, kulikuwa na vita nchini kwao na kila mtu alipachukia. mimi ni mdau ambaye nipo nche ya nchi na watu wote niliokutana nayo, wanajua Kili ipo Tz na swahili ndo lugha yetu. kwa hiyo wakenya wataishia kumezea mate nchi yetu.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 19, 2009

    Jamani Watanzania tuache wizu usiokuwa na maana! kwani hiyo picha haijapigwa kutoka Kenya? Kwani Mlima hauonekani kutoka Kenya? Wapi wameandika kuwa mlima uko Kenya?

    Kuuenjoy Mlima sio mpaka uende kuupanda! Hata kuuangalia inatosh. Tuaache haya mambo tupange mipango yetu mambo yaeleweke.

    ReplyDelete
  30. Naungana na mdau aliesema kuwa tufunge njia za utalii ili kama ni mtalii wa kupanda mlima aje moja kwa moja Tanzania.

    Wamemwaga ugali hebu tumwage mboga!

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 19, 2009

    TANZANIANS HAVE A MENTALITY OF A LOOSER,THATS WHY THEY WILL NEVER MOVE FORWARD IN ANYTHING.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 19, 2009

    tunavyo vivutio vingi sana katikati ya nchi lakini kwa uhaba wa matangazo hata ww unayesoma habari hii huenda huvijui,thanks KENYA maana Kili ungekuwa Dodoma tisigeona hata hizo picha

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 20, 2009

    Kelele mingi wabongo,you must be aggressive in this era rather than making blah blah!

    ReplyDelete
  34. TUSIUNGANE NAO KWANI NDIO UTAKUWA WAO KABISA

    ReplyDelete
  35. tusiungane nao kwani itakuwa balaa watasema kuwa sasa wameungana mlima utakuwa wa east afrika

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 21, 2009

    Mount Kilimanjaro (5,895m - 19,341 ft) can be seen from Kenya to the South of the Tanzanian border.[34]
    This is from WIKIPEDIA .kindly take a look!No one said it is in kenya....Tanzania...Ball is now on your courts i guess..!Peter Mwenguo(TTB)do you read me?

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 21, 2009

    Naamini si hatia kukitangaza unachokiona kwa manufaa yako ya kibiashara.Hujakiiba,hujasema kwamba kiko kwako ila unakiona ukiwa kwako! Pana kosa hapo?

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 26, 2009

    "Jamaa anasema wakenya walie tu juzi juzi kulikuwa na vita kwao..."
    Ni kweli walikuwa na vita hatukatai ILA TUMELALA MNO NI AIBU inashangaza sana viongozi kwa usingizi wao wa pono walionao.Kuanzia |Elimu kila kitu shaghalabaghala hakuna kilicho simama vyote viko nusunusu tu.
    Wenzetu pamoja na kasoro walizo nazo wako mbali ndio UKWELI huo...! Tutakataa lakini ndio WENYEWE UNAUMA.Angalia hata maisha yetu tunalala na majalala pembeni wala hatuhangaiki na hali hiyo tunaona poa.
    VIONGOZI wetu hawaoni shida wao hata sehemu wanazo ishi ni poa tu,usafiri ndio usiseme watoto wao International school wewe Tupendane primary school KAZI IPO.
    Nenda Arusha utaona kampuni za utalii nyingi za watu wa nje ukiona in dalili za wabongo basi ni wa EPA pole weee mlalahoi.
    Acha KENYA waendelee kututangazia maana wakiacha utakaa tu hata sisi tutakosa hao wanao kuja kwa kuanzia Kenya ndio wakukmbuke kuna TZ.
    TUENDELEE KULALA NA KUKOROMA MICHUZI ACHA KUBANA RUSHA HII JAPO NAWE UKO KARIBU NA WARIDI LAZIMA UNUKIE WARIDI.Jamani na mimi nalala.................................................................

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...