Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahaha kweli mkiambiwa kiti moto kina marazi mengi hamtaki kusikia mnaona sasa, sawa na wazungu kule nchi za nje wanalalamika magonjwa ya Ngombe wakati Ngombe kaumbwak ula majani tu wao wanawalisha mengine kiasi waumwe.
ReplyDeleteTHAT'S WHAT BEING CREATIVE. I LOVE THE CARTOON AND IS FUN. IT SHOWS THE ARTIST KNOWS HOW THE FLU IS NTRANSMITTED. IT IS VERY EDUCATIVE AND ENTERTAINING.
ReplyDeleteGREAT JOB.
IT IS WHAT IT IS.
halafu eti watu wasema michuzi punguza katuni ebo!!!!! si mnaona mambo hayo. very educative very entertaining. these cortoons really makes our days!!! michuzi rudisha na KP, ongeza na za tolu, zero, na ikibidi na za nathan mpangala ha ha ha ha!!!
ReplyDeletehuyu mnyama hata kama akiwa na swine flu kuliwa haachwi.tena ngoja nikamtafute sasa hv.wewe kama humpendi kaa pembeni.
ReplyDeletempike taratibu kwa masaa mawili analika kabisa
ReplyDeletenafikiri wataalamu waliharibu jina kwenye matamshi; huu ugonjwa ulistahili kuitwa SHUAINI FLU kwa sababu kitimoto a.k.a yake ni SHUAINI. Nasikia Wabongo wengi wanamla kwa kuamini kuwa nyama yake inakufanya ngozi yako ing'ae kama umetoka mamtoni! siku hizi mpaka kina mdebwedo nasikia nao wanamtafuna kisailensa ukimuuliza 'wala nini weye' utasikia 'nala pweza nimemvua kule Nchambawima karibu na Mfereji Maringo'
ReplyDeletemsile ng'ombe msile kuku wala jamii yake pia
ReplyDeleteH5N1,,,unaelewa??