Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. eeh bwana eeh hii kitu ilimtokea ndugu yangu.Alivusha demu kwa ahadi ya gemu.hahahahahaha,kweli katunist mnaona mbali.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    HAHAHAHAAHAHAH mbayaaaaaaaaaaaaaa nimecheka mpaka nimedondoka kwenye kiti huku nimeipenda sana hiyo. lete mavituzz. MZ

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2009

    hahahaha mkono wa kushoto unapiga nanihiiiiihahahah

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    mapaja namna hiyo itakuwa vigumu mkono wa kushoto kukaa sehemu moja.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    ee bwana imetulia na kutokana huyoo mjimama ulivyo msela lazima mkono usitulie...hahahaha

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2009

    heheh jimama nakuambia kama hilo usipime kama umekula chips mayai huwezi gemu lake linatufaa sisi watu wa ugali maharage mmhh lakini naona huyu mchoraji mchokozi manake kafanana na huyu dada hapo chini ukifunga hii window utamuona dada wa hollywooood kwikwikwi naogopa wasnt me

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2009

    Dada huyo ana maana gani? kapigwa dole au vipi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    hahhahaha jamani sio vizuri hata mie pia nilifikiria hivyohivyo hahaha ila mwenyezimungu atusameh. lol watu wanauwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...