
Da'Chemi (akicheza kama Ms. Thelma) akiwa na Charles Jackson (Joe the bartender)
Da' Chemi Chemponda ndio amemaliza mchezo wa kuigiza huko Boston juzi Jumamosi katika tamthiliya inayoitwa ‘The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor’.
Mwaka huu ilikuwa mwaka wa 11 tangu waanze kuicheza hapo Boston na mwaka huu wameongezea chumvi na watu wanaisifia kweli.
Pichani ni Da'Chemi (aliigiza kama Ms. Thelma) na mwigizaji Charles Jackson (aliigiza kama Joe the Bartender). Katika mchezo Ms. Thelma anamkataa Joe lakini baadaye anakubali kufunga ndoa naye.
Mnaweza kusoma habari zaidi


hongera sana dada na endeleza fani! Pepea bendera yetu (na ya kwao of course) na mambo mengine mbele kwa mbele..
ReplyDeleteNilipata Bahati ya kufika kwenye Play...Da'Chemi alicheza vizuri kweli.....Keep it up
ReplyDeleteMwanaharakati
Namfahamu mtoto huyu Chemi toka miaka Nilipokuwa Chuo kikuu miaka ya late 70's na early 80's.Namwona mama yake hapa bongo mitaani (ni mu Afro American).
ReplyDeleteTetea Taifa Chemi.
Kuna jirani zangu walienda. Wanasifia kweli huo tamthiliya inayohusu historia ya waniga. Hongera kwa kazi nzuri sana dada Chemi nimesikia sifa zako. Next time nitaenda.
ReplyDelete