Habari za kazi mkuu wa wilaya.
Naomba uwarushie wadau linki ya mahojiano kati ya Mhe. Rais Kikwete na CNN.
http://edition.cnn.com/video/#/video/
international/2009/05/29/av.1.jakaya.kikwete.cnn

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2009

    Mheshimiwa JK umejitahidi. Ameongea vizuri katika maswala mbalimbali kuanzia uchumi na hali ya Ukimwi. Amefafanua vyema Pepfa program. Nimemwania!

    Good job President!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2009

    Hongera Jk.Kikwete,Umekuwa raisi ambaye anaweza hata kujaribu kuielezea tanzania.japo jinsigani matatizo ya uchumi wa ulaya yanaiumiza vipi Tanzania umepiga Blanda ila nimekukubali kuliko Yule kibonge mnywa bia.
    Ingekuwa ni vizuri sana ungetumia wakati kama huu kuitangaza zaidi Tanzania kuliko Afrika.Kwa kutaja rasilimali tulizo nazo na maswala ya uwekezaji.{MDAU}

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2009

    CNN: Mr President do you think western countries can allow to happen in Europe what is happening in Congo?
    President: Teh teh teh what do you think?
    CNN: I would like to hear from you.
    Good interview.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2009

    Mahojiano mazuri, Raisi Kikwete kajibu vizuri sababu muda mwengine kujielezea kiengereza anapata tabu ila si lugha yake. Raisi wetu kaelezea kuhusu maisha ya kijijini yamemsaidia, lazima pia awatizame wengi na awape watu vijijini mfano wake wasome na awajengee viwanda, mikoani ndani ndani hasa kwanza ndio ajenge, tunakuomba Raisi Kikwete okowa Ziki za nchi na Maumivi ya umasikini wa elimu na makazi Sehemu za Mikoani. Jumbe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2009

    Kikwete hahaha wacha utani nakuhusu Kupima kutizama kulia na kushoto na kutoka baru. wambie Uzinzi uwachwe ila HIV tukumbuke kwamuda huu Haina uzinzi, hata kama mtu si mzinzi kapime tu hasa wale wenye Tabia ya kupiga wezi mpaka madamu hajui mwizi kama pengine DAMU CHAFU yeye kachunika damu imechanganyika na yako umepata hujijui mwisho unaharibu familia yako. kuna njia nyingi hata Ajali mmekatika na mwengine kakatika kwenye ma Bus mmegusana unauwezekano wakupata, HIV tukapime ila UZINZI tuwache. David Kemine.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2009

    BA PRESIDENT,
    CONGRATS GOOD INTERVIEW AND YOU TACKLED THE FEW QUESTIONS ASKED WELL. LET ALONE THE ENGLISH, AS LONG AS THE MESSAGE HAS BEEN DELIVERED. EVERYONE KNOWS ENGLISH IS OUR 2ND LANGUAGE..SO THAT SHOULDNT BE A BIG DEAL.

    KITU NILICHONOTE, MARAIS WENGI AFRICA WANAELEWA HALI DHOOFU ZA WANANCHI WAO...ILA RAISI SIKUBALIANI KUWA MAISHA VIJIJINI YAMEBADILIKA SANA TOKA MIAKA YA 50..LABDA KIJIJI ULICHOTOKA. ILA VIJIJINI MAISHA BADO NI MAGUMU SANA YASIYO NA
    MATUMAINI..MABADILIKO NI MACHACHE SANA.

    TATIZO LA VIONGOZI WETU NI UTEKELEZAJI..RAIS UNASEMA UKO HAPO ULIPO ILI UWAPE WATU SERVICE..MIMI BINAFSI I WILL GIVE YOU A FULL SUPPPORT UKISAFISHA NYUMBA YAKO..WATEULE WAKO WENGI NI CORRUPT..LAKINI BADO UNAO..WACHACHE SANA NI WAADILIFU. KWELI KWA NJIA HII UNATAKA TUWE NA IMANI YA KWELI NA WEWE YA KUWA UNATAKA UWE WA SERVICE???..WAKATI WALIOKO CHINI YAKO WANAZIDI KUWAIBIA WANANCHI KILA KUKICHA..NA KUTUONA KAMA ZUMBUKUKU. WENGINE HATA BAADA YA KUTUHUMIWA BADO UNAZIDI KUWACHAGUA KUTUMIKIA WANANCHI.
    PLEASE DEAL WITH THIS DIRTY CORRUPT GROUP WITHIN THE SYSTEM NA NDIPO IMANI YETU ITAKUWA KUBWA KWAKO.
    NI HAYO MACHACHE .

    I HOPE YOU GO THROUGH PEOPLE'S MAONI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2009

    question; what do you think of pres. Obama as far as Africa is concerned?
    part of the answer was; i think we have a president who care about Africa.
    ina maana Obama ni president wake pia?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2009

    mh...

    maswali ya kizushi mengine,ningejibu adi mtangazaji wange-edit ku-delete majibu
    sasa obama na afrika wapi na wapi!!
    au western na congo!!

    kiswahili ni lugha adhimu presidaa ungechapa kiswaili na mkaliman pemben,mara moja si haba..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...