Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2009

    Yap!Ibrahim(Bigboy!),naona vitu vyako.Toronto nasikia uliwatosa.
    Regards from Barcelona-Tito.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2009

    J'espère que vous savez ce que vous faites! All the best.
    Paris

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2009

    doh hakika nimefurahi sana,kusikia wabongo wenzetu huko Ottawa,wameanzisha umoja wao!kwani kwa mji mkuu especially kwa nchi zilizoendelea kama CA,ilikuwa inatia aibu bwana,CONGARATULATIONS IBRAH!I Thing u will do alot of changes,as i remember you were among IFMSO,LEADERS!
    Regards from,Iowa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2009

    kwani Ibrahim alikuwa ni nani toronto mpaka awatose?
    all the best Tanzani ottawa!!!

    University of Carfonia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2009

    Mdau wa 8:57 ukisikia umbea ndio huo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2009

    Msifanye makosa baadaye kufungua tawi la chama cha mafisadi kama wenzenu wa baadhi ya miji ya UK na US na kuharibu chama chenu. Kila la heri.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2009

    jamani huyo aliyetoa maoni ya kifaransa ni fisadi papa sisi wengine hatujui kifaransa.
    mdau china

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2009

    michuzi asante sana web ya ofisi watanzania inachangaya asante michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...