Ras Jikhoman na mwimbaji wake wakiwajibika katika usiku wa Bob Marley Day usiku wa kuamkia leo katika mgahawa wa guangzhou garden jijini Dar. wadau kibao toka kona ya jiji na vitongoji vyake walifurika katika shoo hii iliyorushwa laivu na kipindi cha Carribean Beat cha Clouds 88.4 FM chini ya DJ Massive
wadau wakijirusharusha kumkumbuka mfalme wa reggae
wapuliza midomo ya bata wa Ras Jhikoman walikuwa gado
".....aireeee rastafari.
DJ Massive akihamasisha kadamnasi
Bob Marley forever...
DJ Gotta Ire alijazia ngoma Jhikoman na bendi yake walipopumzika.
Nanihii akiwa na wadau kwenye shoo hiyo

video ya ras jikhoman na bendi yake wakirusha wadau katika 
kusherehekea siku ya bob marley dar ijumaa usiku dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2009

    Nadhani una maana "siku ya Bob Marley" na siyo "siku ya Bob Marley Day". Si vizuri kuchafua lugha japo ni Kiswahili-Kiingereza!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2009

    Jhikoman is da best in bongo
    He is da best reggae star
    I love his music
    He got talent

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2009

    Salaam,
    Bob Marley naona anapewa sifa ndogo mno kwa jamii nyingi za Kibongo.Ni mmoja katika wanaharakati wa Ki-Pan Africa na mtetea haki za wanyonge kupitia sanaa ya Muziki.Ni mpinga Ubwanyenye , Utumwa na mapote yake ikiwemo Ufisadiii.Ingekuwa vyema watanzania tukarejea maandiko mengi ya wanafalsafa wa Kiafrika kama Walter Rodney kuelewa umuhimu wa watu kama Bob Marley, mwanzilishi wa changamoto weusi kurudi Africa Marcus Garvey, Burning Spears(Jomo Kenyata alijulikana kwa jina hili), Mtabaruka na wengine
    Miziki wa Reggae si wa wavuta Bangi....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2009

    KWANIANI MARASTA WETU WENGI WAMECHOKA,URASTA SIO MAANA YAKE KULIPULIZA TU NO,UKOMBOZI WA RASTAFARI NI KUSOMA KWA BIDII,KUFANYA KAZI NA KUDUMISHA UPENDO NA UTAMADUNI WA MUAFRICA COS SOME OF US WE ARE LIVING IN CAPTIVITY YAAMAN BIG UP JIKO MAN.

    ReplyDelete
  5. JHIKO MAN JAPO NIMELIMISS ONYESHO KWA WADAU WALIOFIKA NA HIZI PICHA KWELI WEWE UNATISHA MZIKI UMETULIA SAFI SANA PIGA HATUA
    MPILI ALIKOTOKOMEA (DARWIN)

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2009

    Mziki umetulia. keep it up

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2009

    halafu wababaishaji wakagawa tuzo ya wimbo bora wa reggae kwa m-bongofleva!!

    ReplyDelete
  8. wewe mdau #1 vipi we mgeni humu ndani tukupe chamvi? Hizo ni "lugha zetu humu"eg mai waifu wake.hahaha usionyeshe kucha zako mapema.NAWAKALISHA

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2009

    hapo bangi mtuu!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2009

    Michuzi sema kweli bangi zilitawala

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 16, 2009

    Wachagga watakuwa walijaa maana wanapenda huu muziki sana

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 16, 2009

    kaka michu ulilewa kwa moshi hahahaa

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 17, 2009

    Nimefurahi kuona wa-Bongo mnajirusha na mambo ya Bobby! Anyway, wakati naangalia kwa makini hizi picha nimeona kama MKUU WA MKOA wa nanihii kama aka kitambi vile? We need you you man, you are doing a good job, cut your weight down a little so that you can leave longer.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...