Natumai umeamka salama kaka Michuzi.........
Mimi kilio changu hakitaisha japo hukioni.........kwani kwenye maoni nikiuliza vigezo vya kupata ushindi katika blog yako husemi...........
Kaka mimi swali langu Je ni vigezo gani unatumia kumpata mshindi ktk blog yako? Je ni yule anayechangia sana maoni? .............
Je hiyo ni kama bahati nasibu tuuu?................
Je ni yule aneye tumia blog yako sana na je utamjuaje kwani hauko nao huwaoni wakifungua computer!!???.............
Je kama ni mwenye kuchangia maoni sana kuna wale wasioandika majina mwisho utamjuaje????........
Kama ni bahati nasibu zile namba pale chini ulizosema ni yule atakaye wahi kuziona na akakutumia wa kwanza????
Mimi sielewi kaka nisaidie coz mimi ni mtumiaji wa blog kila siku ila sielewi .........mara nisome siku chache zimebaki.......mara hivi.........sielewi kabisa..
Kilio cha samaki machozi huishia baharini.............................
Cheers.........
Yors..Mdau
---------------------------------------------------------
Mpendwa mdau na wadau wengine mfano wako,
hili ni kama bahati nasibu. tafadhali soma maelezo haya kwa makini.
unachotakiwa kufanya ni kuingia mtandaoni na fungua globu ya jamii. pale chini kulia oenye hizo tarakimu zinazoonekana ukikuta pameandikwa 6,000,000 basi ujue wewe ndiye mshindi. copy and paste huo ukurasa na uutume kwa
hakuna jingine ama lingine. huhitaji kujisajili mahali na wala haihusiani na michango ya maoni.
sina uhakika na kompyuta ya watu wengine ila kwa wanaotumia za dell na zinginezo kuna kitufe juu kulia ambacho kimeandikwa 'print screen/sysRq' ambacho unabofya. kisha nenda kwenye start tafuta 'paint' hiyo itafunua ukurasa ambao utaenda juu shoto utabofya 'edit' ambayo itafuata na 'paste' ndipo ukurasa utakuwa umeukopi. bada ya hapo u-save na baadaye uutume kama attachement kwenye anuani hiyo hapo juu.
-michuzi
la kama unaona maelezo ya michuzi ni marefu na ufahamu ni mdogo basi wewe chukua kamera yako kama huna kaazime piga picha na ambatanisha kwenye mail ya michuzi.
ReplyDeletetehetehetehe kiulaini.
habari ndiyo hiyo.
misupu unatuchanganya sasa nitakopije wakati hii page haikopiki?mie ninajaribu kila siku kukopi yaani nimeshaanza mazoezi ya kukopi lakini huwa nashindwa kuikopi inanigomea!
ReplyDeleteThank you kaka Michuzi nimekuelewa....God bless wewe...Ila umechapia umeandika oenye badala ya uone.
ReplyDeleteCheers....Big up kaka
Hata mimi siwezi kucopy hii page wala nini na comp yangu delll lakini haina print screen.
ReplyDeletesijui inakuaje kama nikiprint na kuiscan hiyo page?
Ebu mithupu sema hapo, si itakuwa poa tu. Then ntakachofanya na screen naikong'oli picha kwa ushahidi zaidi
Hata mimi siwezi kucopy hii page wala nini na comp yangu delll lakini haina print screen.
ReplyDeletesijui inakuaje kama nikiprint na kuiscan hiyo page?
Ebu mithupu sema hapo, si itakuwa poa tu. Then ntakachofanya na screen naikong'oli picha kwa ushahidi zaidi
Uncle Michu acha usanii mimi nimecopy na kupaste kwenye word doc hiyo namba imebadilika,nimecopy ikiwa 5768524 baada ya kupaste imetokea 5768601,ni ujanja ujanja tu. wakati wa mwalimu mambo haya hayakuwepo!wizui mtupu!
ReplyDeleteukitaka page niliyopaste nitakutumia.
Michuzi mbona maelezo yako yana mchuzi mwingi hadi yanapotosha mana ukisha bonyeza 'prt scrn' tu mtu anaweza kufunga word na akaright click na kupaste bado itatokea hiyo makitu.
ReplyDeleteSasa maelezo yako ya kwenda start, then paint inaweza kuwa mbinu ya kumchnganya hadi netwok ikakata ama cafe hela ikaisha kurudi kulog in akajikuta ni mdau wa mil 6 na moja!!!!! afu dola zetu ukale na mamsap!!!!! mana akienda start haioni paint straight away hadi aingie kwenye programs sijui acessories blah blah au computer yako ya kichina??
Mzee,
ReplyDeleteMbona hii kitu haieleki if u a stay longer katika bog bila ya kufunga namba inabadilika,aisee ikifika 5999999 lazima niisubirie,ikija 6000000 natwanga picha tu, si inakubalika?
Poa mkubwa
Michuzi
ReplyDeleteHii page haikopiki kabisa ni vizuri utoe maelekezo vizuri tusije husisha na UFISADI
Mdau- Kijitonyama
Bro michudhi...tusaidie siku tarakimu zazidi kusonga yawezekana nikawa mshindi jamani...angalau nikakamata hili dau. Mbona computer zetu hazina vitufe usemavyo wala hatuwezi ku copy page?
ReplyDeleteKama wengine walivyosema hapo juu, na mimi nilianza kujaribu kufanyia mazoezi hizo namba hazikubali kukopiwa labda kama ni hiyo ya 6,000,000 peke yake lakini nimejaribu bila mafanikio.
ReplyDeleteComputer yangu pia ni Dell lakini hayo michuzi unayosema ya print screen haipo labda utuambie ni version gani ya Dell, labda utoe utaratibu utakaotoa fairness vinginevyo tutalaumiana na itatia dosari blog yako
uwiiiiiiiiiiiiii...
ReplyDelete