Natumai umeamka salama kaka Michuzi.........
Mimi kilio changu hakitaisha japo hukioni.........kwani kwenye maoni nikiuliza vigezo vya kupata ushindi katika blog yako husemi...........
Kaka mimi swali langu Je ni vigezo gani unatumia kumpata mshindi ktk blog yako? Je ni yule anayechangia sana maoni? .............
Je hiyo ni kama bahati nasibu tuuu?................
Je ni yule aneye tumia blog yako sana na je utamjuaje kwani hauko nao huwaoni wakifungua computer!!???.............
Je kama ni mwenye kuchangia maoni sana kuna wale wasioandika majina mwisho utamjuaje????........
Kama ni bahati nasibu zile namba pale chini ulizosema ni yule atakaye wahi kuziona na akakutumia wa kwanza????
Mimi sielewi kaka nisaidie coz mimi ni mtumiaji wa blog kila siku ila sielewi .........mara nisome siku chache zimebaki.......mara hivi.........sielewi kabisa..
Kilio cha samaki machozi huishia baharini.............................
Cheers.........
Yors..Mdau
---------------------------------------------------------
Mpendwa mdau na wadau wengine mfano wako,
hili ni kama bahati nasibu. tafadhali soma maelezo haya kwa makini.
unachotakiwa kufanya ni kuingia mtandaoni na fungua globu ya jamii. pale chini kulia oenye hizo tarakimu zinazoonekana ukikuta pameandikwa 6,000,000 basi ujue wewe ndiye mshindi. copy and paste huo ukurasa na uutume kwa
hakuna jingine ama lingine. huhitaji kujisajili mahali na wala haihusiani na michango ya maoni.
sina uhakika na kompyuta ya watu wengine ila kwa wanaotumia za dell na zinginezo kuna kitufe juu kulia ambacho kimeandikwa 'print screen/sysRq' ambacho unabofya. kisha nenda kwenye start tafuta 'paint' hiyo itafunua ukurasa ambao utaenda juu shoto utabofya 'edit' ambayo itafuata na 'paste' ndipo ukurasa utakuwa umeukopi. bada ya hapo u-save na baadaye uutume kama attachement kwenye anuani hiyo hapo juu.
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2009

    la kama unaona maelezo ya michuzi ni marefu na ufahamu ni mdogo basi wewe chukua kamera yako kama huna kaazime piga picha na ambatanisha kwenye mail ya michuzi.
    tehetehetehe kiulaini.
    habari ndiyo hiyo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2009

    misupu unatuchanganya sasa nitakopije wakati hii page haikopiki?mie ninajaribu kila siku kukopi yaani nimeshaanza mazoezi ya kukopi lakini huwa nashindwa kuikopi inanigomea!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2009

    Thank you kaka Michuzi nimekuelewa....God bless wewe...Ila umechapia umeandika oenye badala ya uone.

    Cheers....Big up kaka

    ReplyDelete
  4. Mdau, SoharMay 14, 2009

    Hata mimi siwezi kucopy hii page wala nini na comp yangu delll lakini haina print screen.
    sijui inakuaje kama nikiprint na kuiscan hiyo page?
    Ebu mithupu sema hapo, si itakuwa poa tu. Then ntakachofanya na screen naikong'oli picha kwa ushahidi zaidi

    ReplyDelete
  5. Mdau, SoharMay 14, 2009

    Hata mimi siwezi kucopy hii page wala nini na comp yangu delll lakini haina print screen.
    sijui inakuaje kama nikiprint na kuiscan hiyo page?
    Ebu mithupu sema hapo, si itakuwa poa tu. Then ntakachofanya na screen naikong'oli picha kwa ushahidi zaidi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2009

    Uncle Michu acha usanii mimi nimecopy na kupaste kwenye word doc hiyo namba imebadilika,nimecopy ikiwa 5768524 baada ya kupaste imetokea 5768601,ni ujanja ujanja tu. wakati wa mwalimu mambo haya hayakuwepo!wizui mtupu!
    ukitaka page niliyopaste nitakutumia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2009

    Michuzi mbona maelezo yako yana mchuzi mwingi hadi yanapotosha mana ukisha bonyeza 'prt scrn' tu mtu anaweza kufunga word na akaright click na kupaste bado itatokea hiyo makitu.

    Sasa maelezo yako ya kwenda start, then paint inaweza kuwa mbinu ya kumchnganya hadi netwok ikakata ama cafe hela ikaisha kurudi kulog in akajikuta ni mdau wa mil 6 na moja!!!!! afu dola zetu ukale na mamsap!!!!! mana akienda start haioni paint straight away hadi aingie kwenye programs sijui acessories blah blah au computer yako ya kichina??

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2009

    Mzee,
    Mbona hii kitu haieleki if u a stay longer katika bog bila ya kufunga namba inabadilika,aisee ikifika 5999999 lazima niisubirie,ikija 6000000 natwanga picha tu, si inakubalika?
    Poa mkubwa

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 14, 2009

    Michuzi

    Hii page haikopiki kabisa ni vizuri utoe maelekezo vizuri tusije husisha na UFISADI

    Mdau- Kijitonyama

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2009

    Bro michudhi...tusaidie siku tarakimu zazidi kusonga yawezekana nikawa mshindi jamani...angalau nikakamata hili dau. Mbona computer zetu hazina vitufe usemavyo wala hatuwezi ku copy page?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2009

    Kama wengine walivyosema hapo juu, na mimi nilianza kujaribu kufanyia mazoezi hizo namba hazikubali kukopiwa labda kama ni hiyo ya 6,000,000 peke yake lakini nimejaribu bila mafanikio.
    Computer yangu pia ni Dell lakini hayo michuzi unayosema ya print screen haipo labda utuambie ni version gani ya Dell, labda utoe utaratibu utakaotoa fairness vinginevyo tutalaumiana na itatia dosari blog yako

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 16, 2009

    uwiiiiiiiiiiiiii...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...