sherehe na bosi pamoja na tajiri
Mkuu wa wilaya ya nanihino,
hebu tubandikie ushindi wetu huu (Chelsea) wa kombe la mbuzi, lakini kumbuka nyinyi hata la kuku hamjaambulia mwaka huu! kudadadadadadeki..
Mdau Helsinki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2009

    Kweli sisi SIMBA atujahambulia hata kuku.

    ReplyDelete
  2. Baba UbayaMay 31, 2009

    Congrats Cheski.atleast they got one.
    we finished empty handed.

    "Liverpool Milele"

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2009

    Jamaa kaliita kombe la mbuzi baada ya wao kulikosa, Yaani mwaka huu LFC wameambulia patupu! Afterall Liverpoll kawaida sio timu ya ushindani huwa wanacheza kufurahisha watazamaji wao, Seriously! Hivi Baada ya kale Kakombe ka UEFA kale mliwabahatisha wazee AC milan, kuna chochote kweli wameambulia hata ngao ya Hisani. Wataitoa wapi nafasi ya pili yenyewe wamebahatisha mwaka huu! Ujanja kupata sio kuwahi! BWANA nAniHII!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2009

    Hawa ndiyo mabingwa halisi wa UK mwaka huu. Ili kombe linagombewa na timu zote za mpira UK, toka ngazi ya vijiji kwenda juu.

    Ina washabiki wengi zaidi na kubwa bingwa it mean a lot to players and club history.

    He who laugh last, laugh longer.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2009

    HUYU NDIO KOCHA SIO MAXIMO HAJUI KITU NA MKOBA WA VISINGIZIO.
    mdau kisiju.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2009

    Wale mabingwa wa kombe la emirates mbona hawajifagilii kabisa au ndio ile ya kusibiri msimu ujao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...