msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya TID alonga na globu ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kasema maneno ya ukweli TID tena yanatoka moyoni mwake na kwa unchungu, Mtu anapata tabu halafu anadhulumiwa si vizuri na ni vizuri kuwapa chance vijana wengine wabadili maisha yao na kuiendelelza Tanzania ijulikane katika ulimwengu wa muziki pote, Nimependa ulivyosema TID wakipewa chance wataacha mambo ya wizi, kuua, kukaba watu na kutumia madawa ya kulevya watu walio juu lazima wafikirie ndugu zao wa chini.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2009

    Kijana anaongea ukweli uliopo kwenye anga la biashara ya muziki. Kwakweli wasanii baaaaadooo kabisaa wanaonewa juu ya hili swala la mauzo. Sijui ni kwanini serikali haitaki au haichukui hatua katika kuwalinda wananchi wake.Angalia watu wanajiajiri kama hivi lakini hawathaminiwi...! Inaonyesha TID anasiri nzito moyoni juu ya huyo msambazaji mmoja tu eti aliepo Tanzania na mwenye "haki" ya kunyonya jasho la watu, yeye akiwa amekaa tu!Wengine watasema ni "ujanja" lakini sidhani kama ni haki "kuiba" cha jasho la mwenzako.
    Wito:SERIKALI AU TAASISI HUSIKA ZIINGILIE KATI HILI SWALA NA MENGINEO YANAYOFANANA.

    ReplyDelete
  3. TID SupporterMay 31, 2009

    TID, ushauri wa bure, hachana na mambo ya chiinglishi. Hachana na Englishi haikubaliani na wewe, kwanza inaboa...... Waachie wakina Dr. H..Shayo na Johni Mashaka, Ila Pongeza

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2009

    mkuu, hongera kwa kuja juu. Ila kiinglishi chako kinaboa sana

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2009

    THE BOY IS BRIGHT...

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2009

    TID bingwa wa kuimba ebwana Visa ndio Uk na USA balozi zao wamekubania wana roho mbaya sana hizo balozi kisa uliwekwa ndani usijali njoo Italy huku. Balozi zengine bwana mtu ashawahi kuingia wanamnyima Visa TID.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2009

    umeongea maneno ya kiingereza

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2009

    I love you TID.matatizo ya serikali zetu ni makubwaa.hio english yako poa tu..kwani Tanzania ukiongea english ndio unaonekana ni mjanjaa.

    ReplyDelete
  9. msema kweliMay 31, 2009

    WEWE TID SUPPORTER HAPO JUU NI MPUMBAVU TENA MPUMBAVU WA MWISHO,KWANI KIINGEREZA KIMEWEKWA KWA AJILI YA WATU FULANI MUACHE KUJANA A EXPRESS KWA LUGHA ANAYOJISIKIA WEWE NANI USME ETI AWAACHIKIE KINA JOHN MASHAKA HALUFU WEWE INAELEKEA NI MASHAKA MWENYEWE MAANA DR SHAYO HAWEZI KUANDIKA UTUMBU KAMA WAKO,NASEMA JOHN MASHAKA MAANA NDIO ZOBA LINALOANDIKA NA KUANZI KUJISIFIA MWENYEWE BAMBACLAT KAMA HUJAELEWA HIYO MTAFUTE MJAMICA AKUELEZE NAONGEA HIVYO KWANI NINA UHURU WA KUJIELEZA BWANA TENA KWA LUGHA YEYOTE.WATU WENGINE BWANA WANAJISHAU SHAU.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2009

    Kuchanganya lugha imeshakuwa kama kawaida TZ siku hizi inawezekana kabisa hata hao wanaomwambia TID wakiambiwa waongee nao watachanganya lugha vilevile. Kila anaechanganya akijitahidi mwenyewe kuacha ndipo litaisha la sivyo litazidi kuendelea tu na kuwa kama kitu cha kawaida. (Kwa sasa ujumbe wake umefika)

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 01, 2009

    Kwlei huyu kijana Anaona mbele ila punguza Bangi au bia unaonekana umepata kabisa hapo TID. Mie napenda kijana kama huyu anaonam bali kapewa kibaji tena cha kuwafahamisha watoto wadogo sababu kapitia shida hufi bila kuumia Moyo wengi wetu. Hakeem

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 01, 2009

    Eti nikiweka music online unapita sehemu nyingi "unapita visa". Hamna kitu hapa.

    Ukiuza online ndiyo unapata watu wengi kuaccess product yako kirahisi. kuna pesa zitavuja ndiyi lakini ni pecentage dogo sana ya pesa utakayo pata.

    nimeona music wa mwasiti amazon. Hawa inabidi watoe feedback kwa wenzao kujua kama inalipa au vipi.

    The have to reach watu walio mbali wa mataifa tofauti. Online is the only way to do this.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 01, 2009

    Go TID i feel you wakwetu... kuhusu online umeuliza swali zuri ila fuatilia kwa undani ujue unakuwaje... miziki yako itaishia kutundikwa Youtube watu wanajimuvuzishia bure... sasa hivi mambo mtandaoni baba ila kwa akili...

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 01, 2009

    Hapo hakuna kitu sasa ameongea nini? Hapa tusidanganyane tusikalie kulalamika eti ooo vijana hawapewi nafasi ooo serikali au taasisi ifanye vile au hivi ukweli NAFASI MTU HUWA ANAJIPA YEYE MWENYEWE. Well mwimbaji mzuri anatengeneza album eti analaumu usambazaji sasa ndio nini, Yeye afanye marketing na watu wakizitaka watazifuata au atawapelekea. Usitegemee serikali ifanye distribution za CD za TID.
    Mawazo yangu.

    ReplyDelete
  15. Sherry TallsJune 02, 2009

    TID,ameongea ukweli lakini jama turingie lugha yetu kwanini tunalazimisha lugha ya wenzetu hasa ukiwa kioo cha jamii kwani ukiongea kiswahili mawazo yako hayatofika.
    Napenda nyimbo zake lakini ningfurahi kama asinge ega akin Dr Dre au %) Cent hao wamtoni waachieni mambo yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...