Kaka Michu, 
I hope you are doing well! 
I am pleased to inform you that Mtwara Volunteering Crew (MVC) is embarking on a new fundraising venture in the UK.  A group of volunteers will cycle from London to Brighton in order to raise funds for various activities to be carried out in Mtwara, Southern Tanzania in August 2009.  
More details on how to donate for this and other events can be found on our new BlogSpot 
http://mtwaravolunteers.blogspot.com
Thank you as always, 
Amin M. Sinani MSc MIHT 
Email: amin_sinani@yahoo.com 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2009

    Sasa ujinga gani huo?ati mbona mnaiadhirisha Mtwana kule kwenu kwa wakoloni...na hivyo vijisenti vya mchango vitaliwa kule kule bila kufika hata nusu pesa hapo kwetu...biashara tuu hiyo babu! tafadhali msizitumie majina ya miji yetu kujinufaisha mifuko yenu!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2009

    Sasa ujinga gani huo?ati mbona mnaiadhirisha Mtwana kule kwenu kwa wakoloni...na hivyo vijisenti vya mchango vitaliwa kule kule bila kufika hata nusu pesa hapo kwetu...biashara tuu hiyo babu! tafadhali msizitumie majina ya miji yetu kujinufaisha mifuko yenu!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2009

    Hii inaonyesha kiasi gani uko na upeo mfupi wa kufikiri na kuweza jua jambo baya na zuri,siku zote waswahili wanasema mcheza kwao utunzwa sasa wewe usipoweza kusaidia mji wako ujui kama unakosa fadhila kwa jamii inayokuhusu?Na hizo pesa unazosema zinaliwa umewahi kuchanga na kuomba maelezo ya matumizi?au ndio utamaduni wako wa kukatisha tamaa watu ili wasifanikiwe kwa jambo wanalofanya.Kwa namna moja au nyingine unashindwa kutambua kwenu na kujidanganya ni mtu wa sehemu furani wakati hauhusiki.Jaribu kuwa mstaarabu na kuokoa muda wako kwa kuandika comment za kurudisha nyuma watu,jua dakika unazopoteza hazirudi tena kwenye maisha yako na kama unashindwa kujua jambo zuri kwa manufaa ya jamii basi wewe ni masikini wa akili.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2009

    yaani hawa wanamsaidia Mh. kupitisha kibakuli??

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2009

    kweli ni ujinga tabia ya kuedekeza utegemezi wakati mtwara kuna rasilimali kibao, kinachohitajika tu ni akili na uongozi. Baada ya kusoma na kurudi ameiva eti anaomba, sisi watanzania tunajiandaa kuanza kukataa misaada kwani wao wazungu walisaidiwa na nani ili waendelee.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2009

    Hapo juu ndio kweli wale wachache wanaoitwa waosha vinywa ili mradi muongee pasipo na hata maana,toka lini ukamsaidia mtu kupitisha kibakuli na wahusika wa hilo group wengi wao sio watanzania ila wanajitolea kwa upendo wa dunia hii na kutaka kuona watu wote tunapata haki sawa sasa kusema mambo ya kupitisha kibakuli ni upuuzi huo,Na swala la kusema leo Tanzania tunajiandaa kukataa misaada jaribu kuona ukweli wa maisha uko vipi kuanzia bajeti yetu tunategemea wafadhili sasa itakuwa miji yetu?kuhusu jamaa kaiva ndio anataka kurudi,bahati nzuri namfahamu sio yeye tu ila familia nzima kwao ndio walivyo swala la kuiva yaani ni nature kwao.Kwa kweli watanzania tuwe waungwana na tuwe na muda wa kupay back kule tunakotoka,wadau hapo juu mnaokandia mtajifanya mmezaliwa dar kumbe from madongo kuchomoka huko.Acheni kupotezea watu dira kwa manufaa ya jamii yao.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2009

    VIJANA WALIOANDAA HII KITU MNA HAKI YA KUPONGEZWA,MSIKATISHWE TAMAA NA HAO WALIO COMMENTS HAPO JUU KWANI INAWEZEKANA NI WACHAGGA NA WANAUMIA NA HII KITU,UNAJUA WENZETU KILA KITU KIZURI WANAPENDA KIWE KWAO, HATA WEZI WA EPA WOTE NI WACHAGGA.

    KWANZA MNAITANGAZA MTWARA PIA MNAFUNGUA MILANGO YA MAENDELEO MTWARA.WANAOSEMA WAZUNGU WAMEENDELEA NANI KAWASAIDIA?
    WANASHINDWA KUELEWA KUWA WAZUNGU WALIPATA MAENDELEO KUPITIA BIASHARA YA UTUMWA.SISI WAAFRICA NDIO TUMEWASAIDIA. PIA WAMEFANYA BAISHARA NA NCHI NYINGI HASA AFRICA KWA WAO KUJINUFAISHA.

    KEEP UP VIJANA MMENIVUTIA.
    MDAU CHINGA WA JAMII FORUMS-KIBOKO YA WACHAGGA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2009

    Kuomba omba kubaya sana.
    Kuomba omba kubaya sana.
    Usiombe
    Usiombe
    Jitegemee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...