
Dear Madam/Sir:
Welcome vist our company homepage:
http:offersell.net
We supply you the most fashionable shoes, bags, shirts, sunglasses, watches, and so on. We can offer you the most reasonable discount to make you profit more.
We are expecting for your business.
Looking forward to your contact and long cooperation with us!
PayPal. The safer, easier way to pay......
Best Regards
KABLA SIJAFANYA BIASHARA NANYI NINAPENDA NIJUE (SELL) NI NINI.
ReplyDeletewe anony may 09, 2009 10:14am, tangazo / lugha au jina la biashara si lazima iwe sanifu.
ReplyDeleteKUNA SELL NA SALE, NI VITU VIWILI TOFAUTI, SELL NI KUUZA NA SALE NI KUUZA PIA LAKINI NI CHINI YA BEI INAYOLIPIWA NYAKATI ZOTE, MTU AKIFANYA SALE ANAMAANISHA UNAUZA CHINI YA BEI YAKE YA KAWAIDA, NA SELL NI KUUZA. NI MANENO MAWILI YA KIZUNGU AMBAYO HUCHANGANYA WATU KATIKA KUANDIKA I MEAN SPELLING NA YANATAMKWA NAMNA MOJA. YOTE YANAHUSU BIASHARA YA KUUZA.
ReplyDeleteTehe tehe!
ReplyDeleteAh watu wengine ovyoo!
ReplyDeleteKama huyo anon anayejifanya anajua saana kiingereza eti hanunui mpaka aambiwe sell ni nini!
Ovyo!
nimejaribu kuingia kwenye website yenu lakini inakataa,hata hiyo page ya kwenye MICHUZI pia inakataa
ReplyDeletekiswahili ni lugha yetu kwa nini tujiaibishe na kujiumiza kwa kukosea kosea lugha za watu?!
ReplyDeletemmgh!
ReplyDeletesasa nyie ni ViaPay au offsell?...mbona mnataka kucheza na pesa zetu
ReplyDeletekwi kwi kwi,,,mbavu zangu
ReplyDeleteWATANZANIA NDIYO SABABU TUKO NYUMA KILA SIKU KWA SABABU YA KUTOYAONA MAKOSA KUWA NI MAKOSA, ETI, MRADI UMEELEWA MAANA YAKE!
ReplyDelete