Dear Madam/Sir:
      Welcome vist our company homepage:
http:offersell.net

We supply you the most fashionable shoes, bags, shirts, sunglasses, watches, and so on. We can offer you the most reasonable discount to make you profit  more.

We are expecting for your business.
Looking forward to your contact and long cooperation with us!             
      
PayPal. The safer, easier way to pay...... 
         Best Regards

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2009

    KABLA SIJAFANYA BIASHARA NANYI NINAPENDA NIJUE (SELL) NI NINI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2009

    we anony may 09, 2009 10:14am, tangazo / lugha au jina la biashara si lazima iwe sanifu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2009

    KUNA SELL NA SALE, NI VITU VIWILI TOFAUTI, SELL NI KUUZA NA SALE NI KUUZA PIA LAKINI NI CHINI YA BEI INAYOLIPIWA NYAKATI ZOTE, MTU AKIFANYA SALE ANAMAANISHA UNAUZA CHINI YA BEI YAKE YA KAWAIDA, NA SELL NI KUUZA. NI MANENO MAWILI YA KIZUNGU AMBAYO HUCHANGANYA WATU KATIKA KUANDIKA I MEAN SPELLING NA YANATAMKWA NAMNA MOJA. YOTE YANAHUSU BIASHARA YA KUUZA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2009

    Tehe tehe!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2009

    Ah watu wengine ovyoo!

    Kama huyo anon anayejifanya anajua saana kiingereza eti hanunui mpaka aambiwe sell ni nini!

    Ovyo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2009

    nimejaribu kuingia kwenye website yenu lakini inakataa,hata hiyo page ya kwenye MICHUZI pia inakataa

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2009

    kiswahili ni lugha yetu kwa nini tujiaibishe na kujiumiza kwa kukosea kosea lugha za watu?!

    ReplyDelete
  8. sasa nyie ni ViaPay au offsell?...mbona mnataka kucheza na pesa zetu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 11, 2009

    kwi kwi kwi,,,mbavu zangu

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 11, 2009

    WATANZANIA NDIYO SABABU TUKO NYUMA KILA SIKU KWA SABABU YA KUTOYAONA MAKOSA KUWA NI MAKOSA, ETI, MRADI UMEELEWA MAANA YAKE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...