Home
Unlabelled
mambo ya viryala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Braza Michu, nyie mnakuwa mna msemo wenu maarufu sana ikifika mwezi huu kila mwaka, ule wa 'next season mtakoma'
ReplyDeleteTwasema 'adios' kiispanyola...
ReplyDeletehahaahah haya bwana mmeshinda nyie ngoja mgongane na Ndege mnyama lol!. michuzi naona mchoraji wa Cartoon tutamtowa sasa hivi.
ReplyDeletekaka michu hii man uuuuuuuuu tim lazima ishinde wewe uliona wapi mchezo kipolo mpaka mwisho wa game lazima malikia afurahi kidogo hiyo ndiyo mashetani wa mama.
ReplyDeleteMie Arsenal ila waswahili wanasemak utangulia sio kufika ila Man unite kweli mabingwa. sema kama Arsenal watawafunga manchester then hull wakapata ushindi. liverpool wakashinda zote nafikiri hii Picha itazidi kuwa Classic sijui itachorwa vipi ila hiyo ni kama hakiwezekani kitu hicho. Ila mie yangu macho jamani.
ReplyDeleteesta luago karinyo
ReplyDeleteMichu mwambie huyu katunisti ananidai paundi 100 anipe contacts zake nimtumie! great idea! Man Uuuu watu wa hesabu ndefu; nyie teseni kwenye ball possesion na sexy football lakini game ikiisha lazima ulie kwa kufungwa! Man Uuu oyeee! Ferguson oyee! Babu uza Mr Slow(Berbatov) tupate pesa ya kumnunulia Tevez!
ReplyDeleteHaiumi sana mwaka huu at least timeonyesha kwamba sasa kazi imeanza kweli,ligi ya mwakani shetani kwishney as najua itakuwa mbio ya Jogoo la jiji na wale washika bunduki kama hutaki kunywa sumu kabisa,since tulichome moto lile shetani nna hamu ya kulichomachoma tena na tena yani kuwaonyesha kwamba that was no fluke,The Mighty Reds lazima miezi kama hii mwakani tushaanza kumiliki kidude chetu bila wasiwasi,ila wana bahati hawa?acha tu.Michuzinho usimind tunatakiwa kurekebisha forward na beki za pembeni maana akiumia Fantastic captain kuwe na replacement ya nani anaweza kucheza pale mbele na Torres,tatizo sijui kwanini huwa Yossi haanzi na Riera kwenye wings kisha wakae wale watabe wenyewe pale kati sidhani kama hata watacheza na kocha wao ndani timu yoyote itatoka pale.
ReplyDeleteArrivederci.