Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2009

    Braza Michu, nyie mnakuwa mna msemo wenu maarufu sana ikifika mwezi huu kila mwaka, ule wa 'next season mtakoma'

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2009

    Twasema 'adios' kiispanyola...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2009

    hahaahah haya bwana mmeshinda nyie ngoja mgongane na Ndege mnyama lol!. michuzi naona mchoraji wa Cartoon tutamtowa sasa hivi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2009

    kaka michu hii man uuuuuuuuu tim lazima ishinde wewe uliona wapi mchezo kipolo mpaka mwisho wa game lazima malikia afurahi kidogo hiyo ndiyo mashetani wa mama.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2009

    Mie Arsenal ila waswahili wanasemak utangulia sio kufika ila Man unite kweli mabingwa. sema kama Arsenal watawafunga manchester then hull wakapata ushindi. liverpool wakashinda zote nafikiri hii Picha itazidi kuwa Classic sijui itachorwa vipi ila hiyo ni kama hakiwezekani kitu hicho. Ila mie yangu macho jamani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2009

    esta luago karinyo

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2009

    Michu mwambie huyu katunisti ananidai paundi 100 anipe contacts zake nimtumie! great idea! Man Uuuu watu wa hesabu ndefu; nyie teseni kwenye ball possesion na sexy football lakini game ikiisha lazima ulie kwa kufungwa! Man Uuu oyeee! Ferguson oyee! Babu uza Mr Slow(Berbatov) tupate pesa ya kumnunulia Tevez!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2009

    Haiumi sana mwaka huu at least timeonyesha kwamba sasa kazi imeanza kweli,ligi ya mwakani shetani kwishney as najua itakuwa mbio ya Jogoo la jiji na wale washika bunduki kama hutaki kunywa sumu kabisa,since tulichome moto lile shetani nna hamu ya kulichomachoma tena na tena yani kuwaonyesha kwamba that was no fluke,The Mighty Reds lazima miezi kama hii mwakani tushaanza kumiliki kidude chetu bila wasiwasi,ila wana bahati hawa?acha tu.Michuzinho usimind tunatakiwa kurekebisha forward na beki za pembeni maana akiumia Fantastic captain kuwe na replacement ya nani anaweza kucheza pale mbele na Torres,tatizo sijui kwanini huwa Yossi haanzi na Riera kwenye wings kisha wakae wale watabe wenyewe pale kati sidhani kama hata watacheza na kocha wao ndani timu yoyote itatoka pale.
    Arrivederci.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...