Home
Unlabelled
mbio za mwenge wa uhuru zaanza leo mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Babu umechapia hicho kichwa cha habari "mbio za mwenga zaanra leo"
ReplyDeleteMzee wa libeneke mbona unachapia bwana, au blackberry inakuzengua nini? sasa zaanra ndo nini, ni zaanza bwana, hiyo laptop mkuu, taratibu
ReplyDeleteMisupu hiyo midole yako imelowa madikodiko nini??mbona lugha imegongana kwa sana ktk kichwa cha habari??
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteMimi siko bongo lakini hayo mandhari ya uwanja ni kama Kirumba, Mwanza na si Amaan Zenji Bar
Ulaji mwingine huoooooo....kisingizio mwenge. Labda zamu hii watatupa mchanganuo ya matumizi na mapato ya 'mafwedha' wakusanyayo wakati wa mbio hizo.
ReplyDeleteWizara ya Kapuya haina maana ifutye kwani Kazi, Ajira na hayo maendeleo ya vijana vyote havipo, na hatutegemei kuwepo katika siku za hivi karibuni.
ReplyDelete1. Kazi hazipo.
2. Ajira na Kazi ni similar kama si the same.
3.Maendeleo ya vijana hakuna mkakati wowote wa kuwakomboa wasio na dhamana (Security).
Maoni yangu tu.
Kwa kifupi nauchukia sana mwenge wa Tanzania. Ni nchi chache sana zinaendekeza haya mambo ya ajabu. Nini maana yake?? Ni gharama kubwa zisizo na mpango, ni kukubeshana mizigo tu. Michuzi hebu niambie unalionaje hilo??
ReplyDeleteHizo pesa za kusungusha mwenge nchi nzima si wangenunulia dawa pale Muhimbili ili tuweze kupata matibabu ya maana?? Mambo mengine ya Mwalimu ni bora kuachana nayo,bora kupata lawama za wahasisi hao kuliko kuumizana namna hiyo. Weka mwenge pembeni lipia wasomi vyuo vikuu ili nchi ajea wasomi.
Ni hayo tu
Nakuunga mkono anon wa May 30, 1.50 a.m, I think the mwenhe business has gone pale!
ReplyDeleteannons mlioongelea UUPUZI wa mwenge sawasawa
ReplyDeleteyani ni utaahira moja ivi,inakera sana asa mnapozuiwa na mifoleni yake ya kijinga,,mnacheleweshwa "kujenga taifa"
ngrrrrrrrrrrrrrrr
mwenge tena????
ReplyDeleteiki kitu bado tuu