Makamu wa rais Dk Mohamed Ali Shein akiwasha Mwenge wa Uhuru ambao unaanza mbio zake leo uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Kulia Profesa Juma Kapuya, Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2009

    Babu umechapia hicho kichwa cha habari "mbio za mwenga zaanra leo"

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2009

    Mzee wa libeneke mbona unachapia bwana, au blackberry inakuzengua nini? sasa zaanra ndo nini, ni zaanza bwana, hiyo laptop mkuu, taratibu

    ReplyDelete
  3. Baba UbayaMay 29, 2009

    Misupu hiyo midole yako imelowa madikodiko nini??mbona lugha imegongana kwa sana ktk kichwa cha habari??

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2009

    Michuzi,
    Mimi siko bongo lakini hayo mandhari ya uwanja ni kama Kirumba, Mwanza na si Amaan Zenji Bar

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2009

    Ulaji mwingine huoooooo....kisingizio mwenge. Labda zamu hii watatupa mchanganuo ya matumizi na mapato ya 'mafwedha' wakusanyayo wakati wa mbio hizo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2009

    Wizara ya Kapuya haina maana ifutye kwani Kazi, Ajira na hayo maendeleo ya vijana vyote havipo, na hatutegemei kuwepo katika siku za hivi karibuni.

    1. Kazi hazipo.
    2. Ajira na Kazi ni similar kama si the same.
    3.Maendeleo ya vijana hakuna mkakati wowote wa kuwakomboa wasio na dhamana (Security).
    Maoni yangu tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 30, 2009

    Kwa kifupi nauchukia sana mwenge wa Tanzania. Ni nchi chache sana zinaendekeza haya mambo ya ajabu. Nini maana yake?? Ni gharama kubwa zisizo na mpango, ni kukubeshana mizigo tu. Michuzi hebu niambie unalionaje hilo??
    Hizo pesa za kusungusha mwenge nchi nzima si wangenunulia dawa pale Muhimbili ili tuweze kupata matibabu ya maana?? Mambo mengine ya Mwalimu ni bora kuachana nayo,bora kupata lawama za wahasisi hao kuliko kuumizana namna hiyo. Weka mwenge pembeni lipia wasomi vyuo vikuu ili nchi ajea wasomi.
    Ni hayo tu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2009

    Nakuunga mkono anon wa May 30, 1.50 a.m, I think the mwenhe business has gone pale!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2009

    annons mlioongelea UUPUZI wa mwenge sawasawa

    yani ni utaahira moja ivi,inakera sana asa mnapozuiwa na mifoleni yake ya kijinga,,mnacheleweshwa "kujenga taifa"

    ngrrrrrrrrrrrrrrr

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2009

    mwenge tena????

    iki kitu bado tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...