mdau maabadi wa wenzie walonga na globu ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2009

    Kaka Michuzi tunavutiwa na blog hii, sasa itabidi tuboreshe kitu kimoja! nafikiri utakubaliana na mimi! Naona upo next level katika mambo ya habari na unahitaji mitambo iliyo more sophisticated hususan video. Najua unatumia camera yako kuchukua video ndo maana quality ipo poor lakini unajitahidi sana kutupatia habari kwa picha.
    Swali kwa wadau, wanajamii na wapenzi wa blog hii mnaonaje tumuunge mkono kamanda wetu nanihii kwa kumnunulia vifaa vya uhakika ili kuboresha kazi yake kwani sote tunaipenda na kuifurahia blog hii ya jamii! Ninaomba maoni yenu kwani nanihii anajitolea sana na anatumia muda mwingi kutupatia habari mahiri na moto moto. Binafsi ninafungua blog hii zaidi ya mara 6 kwa siku kwani ninauhakika wa kupata latest news katika picha na video.
    Kazi kwenu wanajamii. Haya ni mawazo yangu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2009

    Kaka michu asante sana kwa kuweka hizi sura mtandaoni, some of them hatujaonana since Radio one.
    Yo!, sunday, ninakukumbusha tena saturday morning show, Radio one.

    (patner in crime)

    ReplyDelete
  3. MYAMBEGUMay 23, 2009

    Huyo Maabadi hana lolote mara atuambie kaenda huko kutembea mara ooh! kibiashara halafu analazimisha kujitia Uzungu asiokuwa nao,yaani ameshindwa kupata neno la Kiswahili lenye maana ya sign.
    Nanihii nakukubali kwa kwenda na mazingira nimeikubali ile "u know what'm say!
    MYAMBEGU BOIMTOTO
    MSOLWA KISAYANI
    MKURANGA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2009

    achane kuzua uzushi kwa wa bongo. malimo bongo yapo tayari, hapo hujampata mtu sema kingine. Labda mkaanzishe usafirishaji wa mazao kama mihogo kwa 18 wheelers. ukizingatia baadhi yenu mna uzoefu wa kuyasukuma

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2009

    Mchangiaji wa 7:25pm, swala yeye Misupu awe anachaji watu kutumia globu yake, kwani hakuna cha bure. Ataboresha hizo video, then ataweza kuuza hisa na kuwa Media kubwa na wewe mchangiaji utakuwa mmiliki.

    Na Mwendapole, Kisarawe.

    ReplyDelete
  6. Tubanane humuhumu maana Bongo ukianzisha biashara hii na wenzio wanafuata. Labda itasaidia kuboresha huduma na ushindani. Website inahitaji editing DAR LIMO TRANSPORTATION na sio transporation!!

    Mdau

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2009

    Ongera Richard Maabadi nakukumbuka enzi zetu za Azania Sec school, nadhani mlikuwa na kanisa au bado kidogo kuanzisha la kwenu wewe na Haris Kapinga. Mimi nilijua katika maisha yako utakuwa mchungaji kama tunavyoowaona kina Kakobe, Mtikila na wengineo. lakinimaisha kumbe hubadilisha watu!
    Karibu bongo ulete ushindani na wanyonge tuweze kupanda ma limo.

    Mdau,Mzee Major

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2009

    Jamani Sunday anaconfidence mpaka anatamanisha yaani we acha tu...hivi hajaoa ???kama bado mi natafuta mchumba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...