mtangazaji machachari wa idhaa ya kiswahili sauti

ya Amerika (VOA) Sunday Shomari along na blogu ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2009

    Jamani sunday!, still handsome.

    Remember Radio one, the saturday morning show?(It's your patner in crime)

    Keep it up bro!

    ReplyDelete
  2. KUFATWENDE UGONVIMWIKOMay 23, 2009

    Shomari huwaga nampenda sana hususan sauti yake na jinsi anavyojitahidi kukwepa athari hasi za Lugha ya Kingereza(Kiswakinge) ingawa wakati mwengine huwa anashindwa kulikwepa hilo,lakini sio mbaya kama ni kwa kuzidiwa,tofauti na "Baadhi ya Wabongo" wanaolazimisha athari hasi za Kingereza wasizokuwa nazo.Zidi kutupa Mavituuuuz mtu wetu!
    Kufatwende Ugonvimwiko
    ST-JEAN
    CANADA

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2009

    Eti ana advertise Voice of America kwa "mambo mengi mbali mbali ya kuvutia mazito" halafu anataja michezo na muziki...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2009

    kaka sunday kanikumbusha wimbo wa kibindankoi wapi monica mfumia, hivi yupo wapi dada monica siku hizi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2009

    Sunday. You are very smart man! I love what you do and you have always maintain your originality as well as your professional credibility. Keep up the good work, good luck and may God continue to bless you.

    ReplyDelete
  6. excellent representation Sunday, hawa wanamuziki wetu na mameneja wao sijui kama wana huo mtazamo wa kufanya kazi na macelebrity wa America. Umewapa mchango mzuri, kazi kwao!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2009

    Jamaa alikuwa mmoja wa waliounda chama la Radio One lililokuwa juu sana wakati fulani. Enzi za akina Mike Mhagama, Monica Mfumia, Flora Nducha, Vicky, Peace K, Deo Mshigeni, Rankim, Master T, Mzee wa macharanga, Aunt Ndina, Seba Maganga, Masoud Masoud, Brother Miki na wengineo.

    Big up popote mlipo, lile chama halitarudi tena kwani siku hizi watangazaji wamebaki wachache sana katika tasnia ya Radio Bongo nzima.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2009

    I admire the way ana-avoid kumix lugha yaani mpaka mtu unataka aongee tu jamani

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2009

    Nice smile Sunday, gorgeous.

    (partner in crime from radio one)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...